christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Kuna wakati watu wanahisi dini zina wafunga funga hivyo wanahitaji kuwa realy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa issue ya huyo mwanamke cha kwanza ni mwanamuziki mkubwa tu ukanda huu wa EA.Ndugu mbona 'code' rahs hvyo umeshndwa kunielewa??
Ndugu mtetezi wa haki ya Christuna, hapa hatusemei jamii kulaghaiwa NO.... miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini ...
Huyo anasaka pesa na watoaji wazuri wa sadaka ni akina mama!!Kwa issue ya huyo mwanamke cha kwanza ni mwanamuziki mkubwa tu ukanda huu wa EA.
Pili (UONGO) Mungu aliyefanya uwepo wa NDOA na anaipa mamlaka hawezi kukuoa maono ya kuvunja Ndoa kisa umtumikie 'hamna kitu kama hicho'
Huyu ni katumwa na kikundi flani.
Kanisa la Kristo limevamiwa.Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Issue sio dini. Hajalefti Dini bali analefti Ndoa kwa ajili ya Dini.Ukishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.
Dada Kapata Pesa za Masharti Somewhere😂😂😂Pesa nayo ni kioo cha yaliomo ndani ya Nafsi na Akili
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Tatizo watu wanapoteza muda sana kuwaamini hao binadamu wenzao, ambao wengi wala hawajatumwa na Mungu. Sioni kosa lake hapo hata kidogo, kaongea ukweli mtupu. Ni wajibu wetu kujua namna bora na sahihi ya kumuabudu Mungu na si kuwategemea hawa waganga njaa na wenye ubinafsi mkubwa.Kauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.
Hakuna wito wa kuvunja Ndoa pia hakuna Mungu atakayekupa ndoto za kuvunja ndoa yako ili ukamtumikie huyo ni sheitwan bin ibirisi.
Wanawake hawaruhusiwi kuwa wachungaji
Dini zimepoteza mwelekeo
1 Timotheo 2:12-13Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.
Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Mapoyoyo wanaona hana dini maana anapinga maandiko kuhusu ndoaIssue sio dini. Hajalefti Dini bali analefti Ndoa kwa ajili ya Dini.
Kwanza kabla ya kukumbuka maono, nikumbushe kama kulikuwa na nabii au mtume mwanamkekumbuka ni wapi imeandikwa Mungu akampa maono (fulani) aachane na mume wake ili akamtumikie yeye!.
Huyu dada nilikua nampenda Hadi naumwa...Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.