Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Alivyotangaza habari za ufufuo wa Yesu...

Tena alikuwa na macho ya Rohoni...

Maana hata hao mitume wengine hawakuwa na macho ya Rohoni, ni Petro tu alimjua kuwa Yesu ni nani...

Mariam Magdalene mwanamke ambaye alikuwa wa kwanza kutanganza injili ya ufufuo wa Yesu...
Kumbe wewe ndiwe Tapeli uliyeimba nyimbo ya "Adamu"kwenye albamu yako ya Utukumbuke kuthibitisha ndoa iliyoasisiwa na Mungu afu unajipinga mwenyewe?

Nabii gani wa Mungu ambaye hakuwa na macho ya rohoni ilihali kazi ya Roho Mtakatifu ni kumuongoza Nabii wa Mungu kwa kila jambo kiinjili?

2 PETRO 1:19-21.
[19]Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
[20]Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
[21]Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

2 TIMOTHEO 3:16-17.
[16]Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;

[17]ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

Unathubutu vipi kukashfu Manabii wa Mungu hawakuwa na ufunuo wa Roho Mtakatifu ilihali neno la Mungu ni kweli?

YOHANA.
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
[24]Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Hatari sana. Sasa ukute umeoa mwanamke;

1. ana hela kukuzidi

2. ana cheo kukuzidi

3. ana shule kukuzidi

Wa hivi kuweza kuhandle ndoa ikamuendea vizuri ni wachache sana. Sema nini, na wanaume sisi, kuwa na mwanamke wa hivi, hata asiposema chochote, huwa tuna ka-inferiority complex flani hivii..!!
Hakuna hako kaudhaifu, ni dhana iliyopo na haina ukweli sana.

Rejea ya Maulidi wa kitenge na anavyo wafungisha ndoa za mafungu, na pesa wanampa wao wenyewe.
Ule udhaifu wa kike bado wanao bila kujali pesa, cheo, elimu, urembo.

Unajua zile shimo hazitumiki kwa kukojoa tu, na kojolewa pia
 
Ukishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.
Kweli mkuu. Somo la history lisingewekwa kwenye combinations kama civics
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.

Kwahiyo anaishi bila mume wala kudo? Au siku hizi biblia imesahau kuhusu ndoa isiyovunjika?
 
Kikwazo kwa maendeleo kivipi? Kama kudanga ni maendeleo basi wengi tutakuwa vikwazo haswaa!
nani anaweza kuishi na mwanamke mzinzi/malaya/mdangaji at all times? Labda mkubaliane maisha hayo, na huo ni uzuzu
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Kuna SHIDA 2 naziona kwa WAIMBAJI Wanaoinuka:
1. . Watu huwa hawaulizi hata DHEHEBU la MWIMBAJI. Uwe msabato, mluteri, mpentekoste — watu WANABARIKIWA na huduma yako. Na kwa kuwa unahudumia Mwili wa Krito… Shetani hafurahi na yeye hajali kama UNAIGIZA anajali IMPACT yako.
Ni kama VITANI (hatujali kama wewe ni raia umevamilishwa kombati na kupewa SMG /- tunajali impact ya hicho ukichokibeba mkononi Kwa hiyo shetani akija na VITA haji na VITA ya kitoto hamna.
Anakuja na vita ya level ya juu sana. Kwa bahati mbaya anakutana na RAIA amevalishwa KOMBATI na kupewa SMG. Hana TRAINING wala nidhamu ya KIJESHI (Maombi, Neno, Kuchungwa — HANA).
Tuulizeni WACHUNGAJI jinsi ilivyo vigumu kuwachunga WAIMBAJI BINAFSI ambao huduma yao inainuka. Unatarajia NINI?
Majanga kwa WENGI wao.

2. ULIMBUKENI. Unajua wengi wa sisi watumishi wa Mungu, Mungu AMETUOKOTA mahali fulani. Ghafla Mungu anakuinua: — tuhela tuwili tutatu — gari ambayo hukuwa kuifikiria — sifa, umaarufu, makofi, shamgwe, vigelegele… Na ukumbuke kama wanandoa mlioana katika mazingira fulani hivi!
Kama ni binti anaolewa kutoka u—house girl au kutoka kijijini. Sasa huduma imemuinua anakutana watu wakubwa wenye hela (ma celebrities). MTIHANI… Anaanza kukuona wewe uliyemtoa kijijini au ulimuoa akiwa house girl (UMEPITWA NA WAKATI). Na kama Mungu amemjaalia kwenye UUMBAJI basi MTIHANI. Kuna watu watasema… — HATUWAOMBEI — HATUWAWEZESHI SIJUI Hakuna nakwambia. Yaani ukiingia kwenye HUDUMA halafu unasema jamani: — MSIPONIOMBEA — MSIPONIWEZESHA Mjue nitarudi nyuma… nitavunja ndoa! Basi hujui ALIYEKUITA. Ukishaitwa MWIMBAJI BINAFSI… ni UTUMISHI mkubwa. Ni jukumu lako kujua ninahitaji: — kutunza UTAKATIFU — KUOMBA — KUCHUNGIKA — Kuheshimu NDOA yangu.

Hawa WATAPIGWA sana

1. Kwa kutokujua the magnitude and the impact of their ministry kwa Mwili wa Kristo. Wakati wao WANAIGIZA — Shetani ANAMAANISHA
2. ⁠ULIMBUKENI
 
Dhambi moja huendeleza zingine.

Achukue mzani ajipime kisha ajirekebishe arejee kwa mumewe

Hakuna Mungu anayevunja ndoa ili umtumikie. Huyo Kanogewa na umaarufu na kaona yule mmewe ni kama mshamba na mzee anataka aanze kuliwa na akina Diamond tu. Anatafuta justification sasa aonekane hajaolewa ili apigwe pumbu bila watu kuhofia kuwa yu mke wa mtu.
tulie mbali nae tunamtamani tumpate tuonje mpiko, itakuaje kwa hao vijana walafi wa mbususu wamuache hivihivi bila kumdonoa na jinsi alivyonona na kupendeza?
 
Ukiwa na mume mkashirikiana mbona unaishi ndoto zako tu. Tatizo ndoto zenyewe sasa unakuta mtu anataka uhuru wa kudanga 😂
Sio kila mara ipo hivyo. Kuna wanaume wabinafsi wewe hujawahu kukutana nao...hawataki uuze hata maandazi, wababe wa koshamba
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
sore mkuu sitasoma ayo mengine zaidi ya kumshukuru mungu kwa huu uumbaji. imagine ukamate lishangazi mujarabh lenye mwanya kama ilo mamaaae hlf ulipige doggy style moja matata sana yani unato..omba adi bao zinajiunga zenyewe uko juu kwa juu. ☆$¥¤`₩¥kuna watu wanakojoa sehemu salama aise.
 
Back
Top Bottom