Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Nampongeza kwa uwazi wenye mashaka. Wanaume wakatoliki ndoa zao zinadorora na kisha kuvunjika kwq sababu ya WAWATA lakini wako kimya. Kanisa katoliki wamewapa WAWATA uhuru mkubwa dhidi ya kuwepo kwa ndoa zao na kuathiri ndoto za waume zao.
Hivi wewe unaijua nia na madhumuni ya WAWATA? Mbona mnapayuka msiyo yajua.....

WAWATA ni walezi wa kanisa na mara nyingi wamepewa kazi ya kuwalea vijana wa kiume wenye miito hasa ya upadre ndio maana wana majitoleo mengi kwenye hizi shule za mapadri.

Kwenye kanisa katoliki hamna mwenye kibali cha kuvunja ndoa hayupo si WAWATA, UWAKA au Padri.
 
Kisaikolojia wanataka waliowazidi Ili wawaongoze ila akikuzidi tuu tayari ni tatizo.

Hapo kwenye kumzidi wanataka Kila kitu,urefu,pesa,umaarufu,akili nk

Nimewahi chukua wanawake mara 3 nikawapeleka geto ,hao walikuwa wanajitegemea na mwingine Bado ila Sasa walivyofika kwangu walijilinganisha mageto Yao na langu wakaona mbona Bora wao,hawakuonekana tena 🤣🤣
Hii ina ukweli pia a real woman anaenjoy Zaidi akizidiwa vitu Na mumewe
 
Huyo Christina Shusho amejiunga kwenye utajiri wa nguvu za giza/freemasons

Kipindi yupo na mume wake, mume aliumwa sanaa, watumishi wenzake wakamuombea ikagundulika Christina anataka kumtoa mume wake kafara
Akaulizwa akakana... mume akapona ndoa ikaendelea, alikua ni mwizi kwa mume wake
Ametembea sana na waumini wa kike kanisani kwa mume wake

Alipoona nguvu za Mungu kwa mume wake zinamuharibia mambo yake ndio akaanza kudai talaka

Ndoa imeisha kafungua kanisa
Kwa ambao washawahi kwenda kwenye kanisa la Christina watakua mashahidi! Kanisani kwake madhabahuni hamna msalaba kuashiria kristo kama kwenye makanisa mengine.
Waumini wanaingia ibadani na vipedo, tight na skin jeans, yeye mwenyewe Madam anafundisha neno huku kavaa gauni limemshape (anaitwa madam kwasababu kawapiga marufuku waumini wasimuite mchungaji)

Nimeishia hapo.
Aiseee Jezebel spirit..ndomana nashangaa Na lile umbo anasimama jukwaan anavaa nguo imembana imemchora vilivyo attention Yote iko Kwa lile umbo
 
Watu kama wewe mnaonekana mnapenda kuwapangia watu wengine namna ya kuishi Maisha yao, Kila mtu ana uhuru wa namna ya kuishi Maisha yake anavyotaka, kuitumia mungu au fantasy za hidden society ili wengine waonekane wabaya ni mambo ya kishenzi kabisa, ishi Maisha yako ya wengine waache wenyewe waamue wanataka kuishi vipi
Inaonekana wewe siyo binadamu halisi, sababu binadamu wa kawaida hawezi kupingana na Mungu.
 
Duu ndoa ni mambo ya duniani....... hivi ushajiuliza why Mungu alimsihi Yusuph kumrudia Maria........ hivi ww si mlokole...... biblia mnaisomaje nyie.

Ndoa ni moja la tendo la kiroho,lina kibali cha Mungu kwa hiyo Mungu alimwambia achane na kitu alicho kibaliki yy mwenyewe....... kwa kifupi alicho kifanya ni kufuru.

Halafu kesho wakishachuja wanakuja kudondokea kwa wazee wa Fursa wakina Kitenge nao hawanaga hiya unapewa penzi kadri ya fedha zako.
Kitenge ana migoma minne anaipiga pumbu kila siku lakini haridhiki hata kidogo; anatamani aoe wanawake wote waliopo nchini labda ndio watamtosha. Mbwa sana yule jamaa.
 
Hivi wewe unaijua nia na madhumuni ya WAWATA? Mbona mnapayuka msiyo yajua.....

WAWATA ni walezi wa kanisa na mara nyingi wamepewa kazi ya kuwalea vijana wa kiume wenye miito hasa ya upadre ndio maana wana majitoleo mengi kwenye hizi shule za mapadri.

Kwenye kanisa katoliki hamna mwenye kibali cha kuvunja ndoa hayupo si WAWATA, UWAKA au Padri.
Mkuu mbona unakuwa mkali hivyo au Madam Christina ni goma lako nini?
 
Kitenge ana migoma minne anaipiga pumbu kila siku lakini haridhiki hata kidogo; anatamani aoe wanawake wote waliopo nchini labda ndio watamtosha. Mbwa sana yule jamaa.
Kitenge havutiwi na matako,sura nzuri wala chuchu saa sita,yy anangalia fedha. Maswala ya mizinga jamaa haya fahamu kabisa.
 
Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..

Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...

Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Hakuna wito wa hivyo...nachelea kusema kuna kitu kimezidi kichwa hapo
 
Back
Top Bottom