Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Hilo ni kundi dogo tu la mahasimu wake wa kisiasa sio Watanzania wote
 
Hakuna anaye mchukia, tunataka umeme.
Haka ka nchi mnatengeneza MW buku mbili kweli mnategemea umeme upi wa uhakika? Na Gridi ya Mjerumani??


Makamba ndio Waziri pekee kaweka mipango long term pale, na inafanya kazi.
 
Wanaomwandama ni mahasimu wake wa kisiasa kwenye mbio za Urais mwaka 2025.
 
Haka ka nchi mnatengeneza MW buku mbili kweli mnategemea umeme upi wa uhakika? Na Gridi ya Mjerumani??


Makamba ndio Waziri pekee kaweka mipango long term pale, na inafanya kazi.
Mipango inafanyaje kazi na wananchi hatupati umeme?
 
Kwahiyo kwa akili yako watanzania wote ni wanafiki isipokuwa wewe, hicho ndicho kinachofanya makamba achukiwe kujifanya yeye ana akili kuliko watanzania wote kama ulivyo wewe.
 
Maovu yake ndiyo yana mwandama
 
Hutopenda hili lakini ndiye Rais ajaye...
 


Mjinga kweli wewe, na mnafiki mwenyewe, kamfuate umpe Pole usitujazie server kwa mambo ya Kijinga.
 

Hana usmati wowote. Angekuwa smat asingekuwa na historia ya kuiba mitihani ya necta. Mtu smat ni mwigulu tu. Amepitia njia ngumu sana,
 
Unasema Rais ni taasisi ndani yake kuna maofisa,madktari e.t.c urais siyo kubeba zege ni maagizo na kusimamia.
Je wizara siyo taasisi?chini yake Hakuna maofisa na kazi ya waziri kama siyo kusimamia ni nini?

Anashindwa kuingoza wizara halafu useme kazi ya urais siyo kubeba zege
 
Hii mitoto ambayo haijui bili za umeme Wala gharama za kuunganishiwa umeme ndio inakuja na mada kama hizi huyu unaemtetea fisadi makamba katutoa kwenye umeme wa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na kitu wewe kibofu wa akili huoni? Au Kwa sababu umezoea kula na kunya Bure?
 
Hivi hata kwanini mnamzungumzia mtu ambae kabebwabebwa tu hana ajabu lolote kajaa ukajanja tu na kujiona ni bora kuliko wenzie

Mtoa mada wewe tueleze ana nini cha ajabu au ambacho amewahi kulifanyia Taifa la Tanzania limpe sifa na hadhi mnayompa?
Wewe una ajabu gani?
 
Na yule wa mikoba anayewaza Kodi tofauti tofauti
 
Watanzania wengi ni illiterate,they just consume information. Ili uwakabili watanzania inabidi uwe mtu wa propaganda pia.

Also mitandaoni Kuna 90+9+1 rule. Ni 90% percent of people ni waangaliaji tu, 9% ni Wana comment na only 1% ni content creators or wanaoandika post. So post nyingi ni 1% tu ya watu mtandaoni.

Japo usichukulie poa influence or manipulation ambayo 1% wanaweza kuifanya ila usikufanye kubadilisha unachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…