Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

Hii hali inakera Sasa. Ikibidi watanzania tuache unafiki. Utasikia wizara alizokaa Makamba hajafanya kitu. Naomba mnitajie mawaziri mnaoona wamefanya hayo mazuri mnayosema Makamba hajafanya lakini wenzie wamefanya

Acheni unafiki watanzania, mnamuandama mwenzenu bila sababu ya msingi

Acheni kabisa huo unafiki wenu
Hilo ni kundi dogo tu la mahasimu wake wa kisiasa sio Watanzania wote
 
Hakuna anaye mchukia, tunataka umeme.
Haka ka nchi mnatengeneza MW buku mbili kweli mnategemea umeme upi wa uhakika? Na Gridi ya Mjerumani??

Makamba ndio Waziri pekee kaweka mipango long term pale, na inafanya kazi.
 
January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.

Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.

Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Wanaomwandama ni mahasimu wake wa kisiasa kwenye mbio za Urais mwaka 2025.
 
Haka ka nchi mnatengeneza MW buku mbili kweli mnategemea umeme upi wa uhakika? Na Gridi ya Mjerumani??

Makamba ndio Waziri pekee kaweka mipango long term pale, na inafanya kazi.
Mipango inafanyaje kazi na wananchi hatupati umeme?
 
Hii hali inakera Sasa. Ikibidi watanzania tuache unafiki. Utasikia wizara alizokaa Makamba hajafanya kitu. Naomba mnitajie mawaziri mnaoona wamefanya hayo mazuri mnayosema Makamba hajafanya lakini wenzie wamefanya

Acheni unafiki watanzania, mnamuandama mwenzenu bila sababu ya msingi

Acheni kabisa huo unafiki wenu
Kwahiyo kwa akili yako watanzania wote ni wanafiki isipokuwa wewe, hicho ndicho kinachofanya makamba achukiwe kujifanya yeye ana akili kuliko watanzania wote kama ulivyo wewe.
 
Sawa swali la msingi kwani wewe unaumia Nini au umeathirika vipi Hadi ukasilike hivyo? Kwa Nini yeye hajatuuliza ametukosea Nini Hadi tumuandame? Kwa kuwa yeye haoni shida Wala tatizo sisi kumchukia basi hata hayo majibu yetu hayahitaji. Sasa wewe hayo majibu yatakusaidia Nini? Na kwa Nini utuchukie sisi kwa niaba ya mtu mwingine ambae hajari?
Kwa kifupi wewe ni ..............., Ngoja niachie wenzangu wamalizie.
Maovu yake ndiyo yana mwandama
 
Attention aliyozoea kuitafuta kutaka aonekane yeye ni zaidi ya wengine ndio inayomfanya aandamwe, akiwa kimya, low key, hana habari, hauzi sura hovyo mbele za watu, hakuna atakayehangaika nae, lakini ukijidai mjuaji zaidi ya wengine ndio unafanya wengi waanze kujiuliza, hivi huyu anastahili kuwepo hapo alipo? kwa performance gani aliyonayo?

Jibu linakuja anabebwa tu kwasababu ya urafiki kati ya baba yake na viongozi wa hili taifa.
Hutopenda hili lakini ndiye Rais ajaye...
 
Hii hali inakera Sasa. Ikibidi watanzania tuache unafiki. Utasikia wizara alizokaa Makamba hajafanya kitu. Naomba mnitajie mawaziri mnaoona wamefanya hayo mazuri mnayosema Makamba hajafanya lakini wenzie wamefanya

Acheni unafiki watanzania, mnamuandama mwenzenu bila sababu ya msingi

Acheni kabisa huo unafiki wenu

Mjinga kweli wewe, na mnafiki mwenyewe, kamfuate umpe Pole usitujazie server kwa mambo ya Kijinga.
 
Ile voice note inabeba kila kitu.

Lakini haya machache;
1. Huwa anajiona yupo smart kichwani kuliko mtu mwingine wakati hamna kitu..kwenye ofisi yake huwa anabadili sana makatibu.
2. Kwa mara ya kwanza aliingia bungeni kwa rushwa millioni 300 huku baba yake akiwa katibu mkuu na akafumbia macho.
3. 2015 Kikwete alilalamika kuwa pamoja na January kuwa msaidizi wake lakini alienda kuchukua fomu ya urais bila hata kumuambia.
4. Ni mtu anayependa dili sana..kuna ushahidi wa wazi kila alipokuwa akienda kwenye mradi wa bwawa la nyerere kuna zile kampuni zinamletea bahasha ili ziendelee kupewa tenda kwenye bwawa la nyerere..kiufupi anatoka hapo nishati akiwa bilionea wa kutisha.

Hana usmati wowote. Angekuwa smat asingekuwa na historia ya kuiba mitihani ya necta. Mtu smat ni mwigulu tu. Amepitia njia ngumu sana,
 
Unasema Rais ni taasisi ndani yake kuna maofisa,madktari e.t.c urais siyo kubeba zege ni maagizo na kusimamia.
Je wizara siyo taasisi?chini yake Hakuna maofisa na kazi ya waziri kama siyo kusimamia ni nini?

Anashindwa kuingoza wizara halafu useme kazi ya urais siyo kubeba zege
 
Hii hali inakera Sasa. Ikibidi watanzania tuache unafiki. Utasikia wizara alizokaa Makamba hajafanya kitu. Naomba mnitajie mawaziri mnaoona wamefanya hayo mazuri mnayosema Makamba hajafanya lakini wenzie wamefanya

Acheni unafiki watanzania, mnamuandama mwenzenu bila sababu ya msingi

Acheni kabisa huo unafiki wenu
Hii mitoto ambayo haijui bili za umeme Wala gharama za kuunganishiwa umeme ndio inakuja na mada kama hizi huyu unaemtetea fisadi makamba katutoa kwenye umeme wa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na kitu wewe kibofu wa akili huoni? Au Kwa sababu umezoea kula na kunya Bure?
 
Hivi hata kwanini mnamzungumzia mtu ambae kabebwabebwa tu hana ajabu lolote kajaa ukajanja tu na kujiona ni bora kuliko wenzie

Mtoa mada wewe tueleze ana nini cha ajabu au ambacho amewahi kulifanyia Taifa la Tanzania limpe sifa na hadhi mnayompa?
Wewe una ajabu gani?
 
Hii mitoto ambayo haijui bili za umeme Wala gharama za kuunganishiwa umeme ndio inakuja na mada kama hizi huyu unaemtetea fisadi makamba katutoa kwenye umeme wa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na kitu wewe kibofu wa akili huoni? Au Kwa sababu umezoea kula na kunya Bure?
Na yule wa mikoba anayewaza Kodi tofauti tofauti
 
Watanzania wengi ni illiterate,they just consume information. Ili uwakabili watanzania inabidi uwe mtu wa propaganda pia.

Also mitandaoni Kuna 90+9+1 rule. Ni 90% percent of people ni waangaliaji tu, 9% ni Wana comment na only 1% ni content creators or wanaoandika post. So post nyingi ni 1% tu ya watu mtandaoni.

Japo usichukulie poa influence or manipulation ambayo 1% wanaweza kuifanya ila usikufanye kubadilisha unachokiamini.
 
Back
Top Bottom