Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hilo ni kundi dogo tu la mahasimu wake wa kisiasa sio Watanzania woteHii hali inakera Sasa. Ikibidi watanzania tuache unafiki. Utasikia wizara alizokaa Makamba hajafanya kitu. Naomba mnitajie mawaziri mnaoona wamefanya hayo mazuri mnayosema Makamba hajafanya lakini wenzie wamefanya
Acheni unafiki watanzania, mnamuandama mwenzenu bila sababu ya msingi
Acheni kabisa huo unafiki wenu