Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Nitajie mwanasiasa mmoja tu asiyekuwa na nongwa

Wewe mwenyewe Umejawa Nongwa na Shujaa Mwendazake ulalapo na uamkapo sasa viongozi wako siasani unadhani hali ikoje?!!
Unaelewa maana ya nongwa kwanza?

Ni hatari Sana badala ya kujadiki hoja unajadili fitina na nongwa
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona nchi inaendelea au inarudi nyuma? Twende mbele turudi nyuma,magufuli hakuwa malaika ila alifanya makubwa
Jiwe alikuwa shetani mkubwa kuwahi kutokea duniani
1668850318524.png
 
CHUKI YA WAZI YA MBUNGE BASHIRU ALLY KWA SERIKALI YA MAMA SAMIA

CHUKI na Uchochezi hautakusaidia Dr. BASHIRU ALLY aliyewahi Kuwa Katibu Mkuu wa CCM.

Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais SAMIA Suluhu Hassan imekuwa Mkombozi kwa wakulima nchini tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua Wakulima kwa kutoa Mbolea za ruzuku, Kufuta tozo zilizokuwa KERO kwa wakulima nchini, Kutafuta masoko ya mazao Nje ya nchi tumeshuhudia kwa mara ya kwanza Maparachichi kuuzwa Moja kwa Moja Nchini China.. Sasa Hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika. Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge BASHIRU ALLY kwa serikali ya awamu ya 6.

Tunakumbuka katika Serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu BASHIRU Kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia maziri ya Magufuli ila Leo nini KIMEMKUMBA BASHIRU ALLY?

Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.

#MamaAnaupigaMwingi
Ukombozi wa Samia kwa Wakulima ni upi wakati korosho bei inashuka kila siku ?
 
Bora kupoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga
 
Hivi hii serekali ya ccm hua hamtaki kukosolewa au mtu kutoa maoni mtu ukiwa mkweli tu chuki tushawachoka na nyie
 
Kama Chuki (Kuchukia) ni Kosa basi na Mapenzi (Kupenda) nayo ni Kosa...; Na sababu watu hawapo objective inabidi tupate watu wa chuki ili tuweze kubalance mizani...

Inabidi tupate Predators wa kuweza Kupunguza Chawa...
 
Hii kaisema lini?
Kuna clip hii ya ngurumo, isikilize pia.

All in all I beg to differ with you. Samia hajafanya lolote la kuwasaidia wakulima, hapana. Usiwe chawa! Nadhani nawe unafaidi urais wa Samia na hivyo hivyo Bashiru alikuwa anafaidi urais wa Magufuli na kumsifia kama wewe unavyomsifia Samia.

Aisee!
Tuna safari ndefu sana sana.

Mimi ni CCM ninaamini kwa dhati kabisa chama chetu kimedhoofisha nchi.
 
Back
Top Bottom