Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

Bashiri kwa sasa amerudia kuwa mjamaa. Anawahimiza wakulima waungane dhidi ya watawala wanyonyaji.

Haya anayotamka asingeweza kuyatamka enzi akiwa madhabahuni mwa awamu ya 5. Huyu mtu ni kigeugeu sana
Anasifia mazuri na kukemea mabaya.
Sasa kwa vile alisifia mazuri ya Magufuli ndio unataka aendelee kusikia hata mabaya ya watu wanaoboronga,hiyo itakuwa ni unafki kusifia kitu ambacho unaona kabisa ni kibovu.
 
Waulize ao wakulima hali ya upatikanaji wa mbolea ikoje huko!
Mbaya sana hata kuelezea haiwezekani mbolea imekuwa ni kitu cha magendo sana ssa kama bange tu wao wana piga per Dm fresh yu wakulima tunakoma tuna kaaa mpka siku 5 bila kupata mbolea
 
Back
Top Bottom