Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.
Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.