Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
sasa kama mmepigana mangumi huko kwenye mapombe chota yenu na vizungura huko, ndiyo unakuja kumbwelambwela hapa jukwaani alaaa!!!!Mtaani kwangu Mtendaji kapoteza meno Matatu.
Mwenyekiti wa kufosi wamebonda na Sasa anatembelea Gongo.
Wapambe wa M/Kiti wanaugulia maumivu ...Polisi alitupwa mtaroni na Bunduki akiwa nayo mkononi kavunjika mkono.
Kama huu ni upendo na kukubalika kwa sisiem bhasi bila Shaka Israel wanawapenda Sana wapalestina Hadi kuwatenda wema kuanzia tar 7 Hadi Sasa.
utangamano miongoni mwa viongozi na wananchi wote Tanzania ni Imara mno na hakuna Kibaraka wala mercenaries wao wa kuJaribu kuudhoofisha ama kuuteteresha.
ramli chonganishi na ushirikiana wenu fanyeni huko huko 🐒