Chuki ya Wananchi kwa Serkali na Watawala ni kubwa

Chuki ya Wananchi kwa Serkali na Watawala ni kubwa

Yaliasisiwa na Magufuri mtangulizi wake.
Magufuli hakuwa mjinga, nakukumbusha tena the guy wasn't an idiot! Alichukua hatua palipohitajika ila he delivered to the public. Alifanya ambayo kiongozi wa taifa anapaswa kuyafanya for the public welfare.
 
Nope Chuki ya Wananchi kwa Wananchi ndio hatari sana na inabidi kuangalia sababu watawala ni wajanja wanaweza kuleta divide and rule...

Sababu hao watawala wakijua wanachukiwa its good (watajirekebisha) na kama wasipojirekebisha watafukuzwa (na kama hawajawa mashetani) basi wataachia ngazi..., Ni bora kuonyesha chuki kuliko kuzificha na mwisho wa siku when the last straw breaks the proverbial Camel inakuwa too late already...
Watajirekebisha bila kuwajibishwa? Are you non native citizen of Tanzania?
 
OGOPENI SANA VIONGOZI WANAOPATIKANA KWA KUPITIA TOBO ZAO MBILI ZA CHINI ...NDIYO MAANA DINI ZILIKATAZA WANAWAKE KUWA VIONGOZI ...KWENYE HILI NAUNGA MKONO HEKIMA YA MAFUNDISHO YA DINI ...KAZI YOYOTE YA UONGOZI TUSITHUBUTU KUMPA MWANAMKE HATA UJUMBE WA NYUMBA 10 NI HATAREE HATAREEE
Atleast we learnt the Hard way
 
Watajirekebisha bila kuwajibishwa? Are you non native citizen of Tanzania?
Nimeonyesha ni nini kitatokea wasipojirekebisha watafukuzwa na wakifukuzwa wasipotoka ndio hivyo yanayoendelea huenda yakaendelea tena haya ni madogo... Shida ya issue kama hizi huwa hakuna washindi bali casualities of different degrees..., Mchuma Janga hula na Wakwao..., there is one biggest looser naye ni Tanzania...

Ila knowing politicians na historical events kitakachotokea ni Divide and Rule watu kitaa kushikana mashati na huko juu kuendeleza libeneke (sana sana itakuwa ni kubadilisha tu Chupa wakati mvinyo ni ule ule)

AU Different Script Same Cast.....
 
Watendaji wameamua kuichukiza Serikali na wananchi,CCM mpaka mitaani wapo lkn hawasemi kama wala kuhoji.
Mfano ukija kitungwa area M.Kabla ya March 2021 maji yalikuwa yanatoka,baada ya July 2021 maji hayatoki hata mvua inyeshe.Ni ishara kuwa MORUWASA wametufungia.
CCM hawana intelligencia ya kubaini kuwa wanagombanishwa wa ajiliwa wa serikali na wananchi.
 
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!

Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.

Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.

View attachment 3171171
Usimuamshe aliyelala
 
Ma-ushungi anafuata ushauri wa waarabu ndiyo watu makatili kupitiliza. Hivi unajua baadhi ya hizi nchi za uarabuni kuandamana ni kosa la kuhukumuwa kifo? Siku Bangladesh walipomtumua yule ma-ushungi wao, kuna raia wa Bangladesh walikuwa nchi moja ya kiarabu (jina limenitoka) wakaandamna kuunga mkono yanayotokea nchini mwao na wakahukumiwa vifungo virefu. Pia msisahau hawa wenzetu wananyonga wapinzani.

Hawa hawana uvumilivu na ndivyo walivyolelewa.

Wakati wa Biashara ya watumwa waliwachinja wale wote ambao hawakusilimu na kuwafanya watumwa wale wote waliovumilia kuuzwa kama kuku.
Karne hii bado waarabu wakiwa kwao hawavumilii kabisa watu wa dini nyingine kutangaza dini yao . Wala hawana huruma na Mwarabu anayeamua kubadili dini na kuwa Mkristo hata kama matendo yake ni mazuri kama malaika bado watamuua kwa kumkata shingo .
Sasa kama wanaua mtu kwa sababu ya imani tu bila hata kufanya tendo baya ,ni wazi kuwa ni watu katili sana kwa mtu asiyefuata yale wanayoyataka wao.
 
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!

Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.

Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.

View attachment 3171171
Me sijasoma ndani, lakin heading inajieleza wananchi wanatembea na slogan ya ubaya ubwela baada ya chuki ya wazi ya watawala kwa wananchi, haiwezekani mwananchi ana njaa ya kutisha afu mtawala anaishi maisha ya peponi
 
Hawa hawana uvumilivu na ndivyo walivyolelewa.

Wakati wa Biashara ya watumwa waliwachinja wale wote ambao hawakusilimu na kuwafanya watumwa wale wote waliovumilia kuuzwa kama kuku.
Karne hii bado waarabu wakiwa kwao hawavumilii kabisa watu wa dini nyingine kutangaza dini yao . Wala hawana huruma na Mwarabu anayeamua kubadili dini na kuwa Mkristo hata kama matendo yake ni mazuri kama malaika bado watamuua kwa kumkata shingo .
Sasa kama wanaua mtu kwa sababu ya imani tu bila hata kufanya tendo baya ,ni wazi kuwa ni watu katili sana kwa mtu asiyefuata yale wanayoyataka wao.
Ushetani tu unawaongoza
 
Yaan ndugu kilichopo kwa watanzania kweli wana hasira na chuki kubwa sana dhidi ya serikali lakini hawana pa kuanzia yaani pakipatika pa kuanzia penye nguvu sio vyama vya siasa lakini, wallah MAma na genge lake na IGP na kina MAFWELE kundi lake hawata amini kitakacho tokea na watabaki midomo wazi.
Wapi huko Kuna Chuki mbona hapa ni bendera zetu tu ndio zinaoepea? 😀 Hii ni ishara kuwa Chama na serikali vinakubalika 99.9%
1733734513201.jpg
 
Wapi huko Kuna Chuki mbona hapa ni bendera zetu tu ndio zinaoepea? 😀 Hii ni ishara kuwa Chama na serikali vinakubalika 99.9%View attachment 3172999
Bendera za chama tawala kupepea sio hoja sababu unajua kabisa zinapepea kwa mtutu wa bunduki sababu kama mtu aliye jichorea picha yake mwenyewe kwa mapenzi ya rais wake baadae akaamua kuichana mwenyewe na yeye akapotezwa hadi leo hajulikani alipo sembuse bendera zilizo wekwa bila hiyari ya wananchi!? Acha ujinga wako, wananchi wana hasira sana na serikali onevu hii na mbaya zaidi hata wana ccm wanabaki kuwa wanaccm kwa hofu ila sio kwa mapenzi
 
Back
Top Bottom