LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Sio kwamba nao hawajui, wanaimba nyimbo za kusifu na kuabudu sio kwamba wanapenda. NJAAKijani hawawezi kukuelewa,wanawaza kwa namna yoyote ile waendelee kutawala hata kama wananchi wameeakataal
Wanaweza hata kutoa pendekezo yule mama aitwe mama mtakatifu wa taifa. Yote hii KUTIBU NJAA ZAO.
Wanaimba majukwaani, wanasikitika na kuponda majumbani!