kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
Kwa hofu ila sio kwa Mapenzi ila wapo ccmBendera za chama tawala kupepea sio hoja sababu unajua kabisa zinapepea kwa mtutu wa bunduki sababu kama mtu aliye jichorea picha yake mwenyewe kwa mapenzi ya rais wake baadae akaamua kuichana mwenyewe na yeye akapotezwa hadi leo hajulikani alipo sembuse bendera zilizo wekwa bila hiyari ya wananchi!? Acha ujinga wako, wananchi wana hasira sana na serikali onevu hii na mbaya zaidi hata wana ccm wanabaki kuwa wanaccm kwa hofu ila sio kwa mapenzi