watawambia ni kelel za churaChuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.
Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.
Ghadhabu ya Mungu?Kile kikombe cha ghadhabu kinakaribia kujaa
Rais Mama huwezi hata kumdhania aisee.Yote haya yamesababishwa na serikali ya mama kutokuzingatia utawala wa Sheria na haki za binadamu.mama karuhusu utekaji na kejeli Kwa wanaotekwa eti kifo ni kifo tu!kipindi Cha nyuma mambo haya ya utekaji hatukuyaona kabisa.
Kijani hawawezi kukuelewa,wanawaza kwa namna yoyote ile waendelee kutawala hata kama wananchi wameeakataalChuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.
Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.
Tunakoelekea watu wataanza kulipa visasi mitaani kimya kimyaChuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.
Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.
Yaan ndugu kilichopo kwa watanzania kweli wana hasira na chuki kubwa sana dhidi ya serikali lakini hawana pa kuanzia yaani pakipatika pa kuanzia penye nguvu sio vyama vya siasa lakini, wallah MAma na genge lake na IGP na kina MAFWELE kundi lake hawata amini kitakacho tokea na watabaki midomo wazi.Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.
Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.
Binafsi niliumia sana.. sasa hv ingependeza tuwe kwenye maombelezo ya kitaifa.. dhidi ya hawa wajuzi wakujaza fomu za uchaguzi.Na ajali ya jana sijui kwanini haikuwasomba
Hapana hii ni ghadhabu ya chuki za wananchi.. Ya Mungu badoGhadhabu ya Mungu?
Kuna kitu ambacho nakiona Tofauti kati ya uongozi wa Mama samia na uongozi wa mtangulizi au watangulizi wake. Magufuli alikuwa anaongozwa na hisia zake ila kws wanyonge alikuwa anawajali sana yupo lazi apokonye kwingine kote ila Watanzania wapate huduma muhimu hasa wanyonge, Mama yeye kaachia watu watafunane, yaani kila mtu anakula kws urefu wa kamba yake na wala hakemei, Nchi sasa ni shamba la Bibi kila mwenye nafasi na mwanya na ale, naukilalamika unaonews unafungwa. Vyombo kama Polisi, tra, nida, mahakama na taasisi nyingine yamekuws kama makampuni ya watu binafsi wstu wanafanya tu vyovyote wanavyotaka na hawafanyi chochote na wanalindwa kws nguvu zoteChuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu wa roho hasa inapokuwa chuki hiyo ina msingi wake kwenye masuala ya haki.
Kuna haja ya watawala kurekebisha jambo hili kabla ili kuepusha balaa zisizokuwa na maelezo mazuri.
Mama huyu ni tatizo kubwa sanaKuna kitu ambacho nakiona Tofauti kati ya uongozi wa Mama samia na uongozi wa mtangulizi au watangulizi wake. Magufuli alikuwa anaongozwa na hisia zake ila kws wanyonge alikuwa anawajali sana yupo lazi apokonye kwingine kote ila Watanzania wapate huduma muhimu hasa wanyonge, Mama yeye kaachia watu watafunane, yaani kila mtu anakula kws urefu wa kamba yake na wala hakemei, Nchi sasa ni shamba la Bibi kila mwenye nafasi na mwanya na ale, naukilalamika unaonews unafungwa. Vyombo kama Polisi, tra, nida, mahakama na taasisi nyingine yamekuws kama makampuni ya watu binafsi wstu wanafanya tu vyovyote wanavyotaka na hawafanyi chochote na wanalindwa kws nguvu zote
Aiseee!!! watu wengi wameumia sana kwa kunusurika hao jamaa, hii inabidi wajiangalie sana viongozi. Chuki imekuwa kubwa sana.Na ajali ya jana sijui kwanini haikuwasomba
Mbaya zaidi familia za ma polisi tunaishi nazo uswahilini.Tunakoelekea watu wataanza kulipa visasi mitaani kimya kimya
Chuki iko kubwa sanaKile kikombe cha ghadhabu kinakaribia kujaa