Watendaji wameamua kuichukiza Serikali na wananchi,CCM mpaka mitaani wapo lkn hawasemi kama wala kuhoji.
Mfano ukija kitungwa area M.Kabla ya March 2021 maji yalikuwa yanatoka,baada ya July 2021 maji hayatoki hata mvua inyeshe.Ni ishara kuwa MORUWASA wametufungia.
CCM hawana intelligencia ya kubaini kuwa wanagombanishwa wa ajiliwa wa serikali na wananchi.