Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Alichokisema Kina ukwel ama hakuna? Nathan ungepinga Kwa hoja alaf mwshon utuonyeshe ni chuki binafsi tuu Kwa kuunganisha na iyo tuhuma yakoZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Nyie wajinga wa ufahamu, hamjui kuwa Warioba aliwahi kumkosoa hata Mwalimu katika sakata la kumchagua kijana aliyempenda Chediel Mgonja kutokana na kuzuiwa na mahakama kuteuliwa nafasi yoyote serikalini.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Watu wajinga wajinga hawalielewi hilo.Uzalendo sio "Chuki". Mzee Warioba ni Mzalendo kweli kweli hajali hicho Chama chenu anachojali ni Taifa la 🇹🇿 Tanzania.
Mkiambiwa ukweli mnatafuta vichaka vya kujifichia.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Labda umri wako unakufanya usiwe unamfahamu Warioba. Nina uhakika wanaomjua Warioba wakipita hapa watacheka na kukushusha vyeo.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
PamojaMm Si CCM Bali mtoa mada ndiye kada anayepuyanga.
Huenda huyu ndugu Chawa anaelewa sema yuko radhi kuwapotosha Watanzania wenzake kwa ajili tu muamala wa Nchimbi usome.Watu wajinga wajinga hawalielewi hilo.
Uko sahihiZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Inauma wapi…Shida ccm hampend kuambiwa ukwel mtu akiwachana anakuwa adui yenu
Siasa mavitaka too late uvccm try againZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Umekurupuka, soma historia vizuri kabla haujaamua kujianikaZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Wakuu wa wilaya wote wa enzi za JK na JPM hawapo tena punguza hadithi za kufikirika ukuu wa wilaya sio kazi ya kudumu unadhani Warioba haelewi Hilo.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Waligombea pamoja na P,Na Gwajiboy na Mpwa wa awamu 5 sio?Kippi si aliondoka kwenye udc baada ya kuchukua fomu ya ubunge Kawe.
Basically this is stupid.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Niyo mbuli gete u mbehi ng'wenuyu.Wanjaga kusala lolo wamwise