digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Kwenye siasa kuna mapambano yanayoitwa offensive, defensive na ambush.2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Sukuma Gang hususan Kalemani, Chamuriho na Ndugulile. Mmoja kati ya hao ndiyo mwenye hii IDHuwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Bia gan unatumiaa mkuuTL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.
Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.
Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.
Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
2025 mbaliMama yetu ni kheri apumzike tu 2025
Nawaongelea waliokuwa kwenye mamlaka ya Dikteta Magufuli..Raisi Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alikwenda kumuona.
..au huyo amekuwa sio mwana-ccm siku hizi?
Nawaongelea waliokuwa kwenye mamlaka ya Dikteta Magufuli
Windhoek baridi pack ya 6!!Bia gan unatumiaa mkuu
Huwezagi kabisa kujikita kwenye mada ewe cheti fake!Sukuma Gang hususan Kalemani, Chamuriho na Ndugulile. Mmoja kati ya hao ndiyo mwenye hii ID
Leta hiyo text hapa..Mama alisema katumwa na Jiwe kwenda kumsabahi TL hospitali.
Endelea kuota,kumuwaza huyu Mrs Robert Amsterdam eti ataisumbua serikali Ni sawa na kupoteza muda.
Mrs Robert Amsterdam hajawahi na Wala hatawahi kuisumbua taasisi ya urais.
Rais Samia Ni msimamizi tu wa taasisi ya urais,lakini urais Kama urais Ni taasisi iliyo imara na Ina watu wengi walio imara,hivyo huyo Mrs Robert Amsterdam hawezi kuwa tishio kwa taasisi ya urais.,atayafikia malengo yake akiwa amechakaa na pengine asiweze kutafikia kabisa.
Mwambieni atulie huko huko,CC.
Tundu A Lissu
Njoo hp nilipo unywee zakutoshaa ukuu tukisubiri mwaka mpya,NGAO PUB GOBA KWA ROBARTWindhoek baridi pack ya 6!!
Kwenye siasa kuna mapambano yanayoitwa offensive, defensive na ambush.
TL akirudi 2022 na ku launch offensive politics to attack kwa CCM na Samia, CCM wata play defensive politics na counter attack. Kwa vile the real game is going to played 2025, Lissu akianza 2022 kufikia 2025 atakuwa mbendembende kama mlenda, Samia atateleza kwa ulaini kama bamia!.
Chadema haina kabisa political think tanks wa political tactics. Wangekuwa nao, Lissu wangemleta kwa ambush ile 2025 ndio labda wangempanikisha Samia!.
Japo kwa sasa Lissu anaonekana dependable, nakuhakikishia Lissu ni hakuna kitu mbele ya Samia!. Hata Lissu ni binadamu tuu, dhaifu sana!. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!.
Angalia picha hii
View attachment 2064391
This picture speaks everything!.
Lissu karibu nyumbani, home sweet home.
P
Samahani lakini, ashakumu si matusi... wewe jamaa una uwendazimu kidogo, unateswa na kivuli cha marehemu vibaya mno. Nilidhani ni uoga tu ila ni uwendawazimu.Sukuma Gang hususan Kalemani, Chamuriho na Ndugulile. Mmoja kati ya hao ndiyo mwenye hii ID
Mbona jobu kasema mkimgusa tu atanuka na mnada uko palepaleMama kasema"Ukinizingua tutakuzinguana"