Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

Ana kazi kubwa Sana Mana kapata uongozi nchi ikiwa na tahaluki kubwa kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru.Nchi imegawanyika kisiasa,hAli ya uchumi ni mbaya Sana,Miradi ni mikubwa na inahitaji Matirion kuikamilisha,ajira Bado ni tatizo,swala la katiba mpya,kwa haya inabdi mama asaidiwe la sivyo ataekemewa na mwisho wa siku ni kuja kupaniki na kupoteza nwekekeo .

..hiyo miradi mikubwa ya Magufuli inayofyonza lila kitu inaweza kumuangusha.

..hii nchi ina matatizo mengi yanayotakiwa kushughulikiwa.

..fedha zinatakiwa zipelekwe maeneo mengi ili wananchi wengi zaidi waone kwamba wameguswa.

..jambo moja ambalo TL amegusia ni kwamba tulitakiwa tutekeleze miradi ya kati ambayo inakamilika haraka, na haitumii fedha nyingi.

..TL amechambua uwepo wa miji mikuu miwili Dodoma na Dsm.

..Je, uamuzi wa kuhamia Dodoma na kutumia fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa mji mkuu ulikuwa wa lazima, au ulikuwa ni mzima tu uliotokana na kauli ya Jpm?

..Sasa tunatumia matrilion ya fedha kujenga Dodoma halafu viongozi hawataki kukaa huko.

..Lingine ni ununuzi wa ndege kwa fedha taslim. Kwanini fedha hizo hazikuelekezwa kwenye pembejeo za wakulima, wafugaji, na wavuvi?
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Mama wala hatayumbishwa na ngo uchwara inayoitwa chaga development manifesto

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Imeisha iyo yaani miaka ya 2016na2017 Magu alikuwa na stress yaani kila alichokofanya Lissu alikichallenge,,,Lissu anajua kukera[emoji1][emoji1]
Ni kweli kwa mtenda maovu. Maana hazushi. Kwahiyo kwa SSH atakwama!
 
Haitosaidia chochote.
Mama samia lazima ataendelea kuwepo kutokana na asili ya watanzania wengi.

Umejiuliza kwanini miaka yote hiyo CCM haijatoka madarakani ije kutoka leo?
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
IMG-20211231-WA0543.jpg
 
Yani Lisu raia wa kawaida aje kumsumbua amiri jeshi mkuu?
Tanzania ina vichekesho.
 
Maisha mafupi sana,ni heri angesalia huko.
Kitabu kurasa zimeisha..
 
Upepo unatarajiwa kugeuka hivi karibuni,jiandae.
 
Mkishiba MAKANDE na MKIACHIWA SIMU NA SHEMEJI ZENU BASI manaleta mada ambazo hazina uhalisia. Ni kwa kuwa mmeshika viITEL basi mnatype tu nde nde nde. Yaani LISSU AMSUMBUE RAIS?? Huwa mnatumia makalio kufikiri?? Kwa Brain ya LISSU ya KUROPOKA hata asilolijua??

UPUPU.
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.
Atatulizwa tuli yaani hamta amini.
 
..atampa jina zuri tu linaloendana na haiba na matendo yake.

..Lissu hajawahi kuita mtu jina lisiloendana na tabia na matendo ya mhusika.

..tarajia jina kama " malaika ," au " malkia. "
Hatamuita jina baya bali ataangalia mapingufu yake kama ccM wanavyofanya
 
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.

Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.

Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia.Haitashangaza Tundu akimpa jina la 'ma ushungi' huku akimtweza.Kumbukeni TL alimuita Magufuli dikteta uchwara tena mchana kweupe!

Kugawanyika kwa wana CCM ni bayana.Hakutakuwa na siri tena kwenye chama na Serikali jambo ambalo kina Tundu watazipata siri nyingi za sirini na kwazo ndizo zitawasaidia kumsurubu Samia.

2022 itakuwa chungu sana kwa Samia.

Kama mnadhani JPM alipoondoka aliondoka na dola, idanganyeni hiyo mifugo ya wazungu ijaribu!

Nchi lazima isonge mbele, na kusonga mbele ni application of physics tu. To move from one point to another, you have to apply the amount of force that’s necessary to overcome friction. Obviously, katika kufanya hivyo, all high-friction points zitachimbika na zingine kuharibika vibaya. Usipofanya hivyo, you remain in a stationary state. Nani anataka huo ujinga?
 
Back
Top Bottom