Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...

...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.

...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.

...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.

...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Huyo wakala wa mabeberu amefukuzwa huko Ulaya na hana jipya lolote la kumsumbua nalo Rais Samia. Aje tu agaragazwe
 
Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...

...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.

...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.

...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.

...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
.
 
Si alikuwa Ubelgiji kutibiwa?
 
TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.

Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.

Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.

Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Sidhani kama atamnanga kwa sababu hiyo. TL has been not personal. TL anamuatack mtu kwa matendo yake yanayoathiri jamii nzima ya watanzania. Uhusiano wa SSH kwenda kumuona akiwa anaumwa ni jambo la.kibinadamu ambalo hadi leo Tundu Lissu huwa anamshukuru Mama. Lakini linalokuja swala la haki na utawala bora TL anamkosoa mtu yeyote.
 
Kama mnadhani JPM alipoondoka aliondoka na dola, idanganyeni hiyo mifugo ya wazungu ijaribu!

Nchi lazima isonge mbele, na kusonga mbele ni application of physics tu. To move from one point to another, you have to apply the amount of force that’s necessary to overcome friction. Obviously, katika kufanya hivyo, all high-friction points zitachimbika na zingine kuharibika vibaya. Usipofanya hivyo, you remain in a stationary state. Nani anataka huo ujinga?

..tatizo Mama sifa ya UKATILI haitaki.

..sasa nyinyi watu wa dola safari itabidi mtulie makambini kwenu.
 
Mleta mada ni tahira, Lisu ni Liberal, yupo upande wa Samia 100%! K gang baada ya kukosa sapoti ndani ya CCM mnatafuta upinzani, mmefail kabla hata hamjaanza, Samia anaondoka 2030 anamwachachia January, Ngumu kumeza hiyo, mezeni hivyo hivyo, hatutakubali kutawaliwa na washamba tena
 
Sidhani kama atamnanga kwa sababu hiyo. TL has been not personal. TL anamuatack mtu kwa matendo yake yanayoathiri jamii nzima ya watanzania. Uhusiano wa SSH kwenda kumuona akiwa anaumwa ni jambo la.kibinadamu ambalo hadi leo Tundu Lissu huwa anamshukuru Mama. Lakini linalokuja swala la haki na utawala bora TL anamkosoa mtu yeyote.
Hivi why Magu hakumchana Mom baada ya kwenda kumuona Lissu?
 
..Magufuli alikuwa hataki kabisa kuzungumzia suala la Lissu.

..Nikajiuliza Magufuli mpenda sifa kwanini hakutaka kupata sifa ya kuwakamata walipojaribu kumuua Lissu?

..Au kwanini hakutaka kupata sifa ya kuwa kiongozi mwema aliyeokoa maisha ya Lissu?

Kwa mfano, Magufuli alimsaidia Ruge, lakini akaacha kumsaidia Lissu.
 
Magu alikuwa mpuuzi sana, Pascal aliandika kuhusu wasiojulikana na alimaliza kila kitu
 
Yaani shoga aje atikise nchi?? Lissu kula kulala achukue nchi??? MACHADEMA kweli mnaota.
 
Lisu siyo shoga, ila kitu ambacho hawajui hawa K gang ni kwamba Lissu hadi kufanya huo uamuzi ameshajua nchi ipo salama kwa sasa
 
Sasa kiongozi baada ya kumobilize watu wake kuwa mfano wa chama mbadala kinachowania dola kwa kuweka hadharani mipango thabidi na iliyokomaa ili kweli wananchi wawe na imani baadala yake anakuja kuleta siasa za oyaoya..

Tanzania haihitaji wanasiasa kwa ajili kudhihaki, kutukana dola na Rais...Tanzania inahitaji wanasiasa wenye mipango madhubuti na mfano nje ya wale wenye dola...

Yaani tukushabikia kwa kutumia kwako lugha za kuudhi, kudhihaki na kutukana dola baadala ya hoja nzito, na mikakati mizito inayoonekana, uongozi bora kwenye chama chako nk..
 
..tatizo Mama sifa ya UKATILI haitaki.

..sasa nyinyi watu wa dola safari itabidi mtulie makambini kwenu.

I am not a state operative, but I don’t believe there will be room for any destabilizing political maneuvers. Nchi lazima isonge mbele!

Wasipende kujaribu watu. Hata elastic material zina breaking point.
 
Back
Top Bottom