Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

TL atakuwa anajichimbia kaburi lake na kupotea kwenye ramani kama atamdhihaki Rais SSH.

Ikumbukwe Lissu aliposhambuliwa na risasi za kikundi cha akina Makonda, kisha kufanyiwa emergency treatment pale Dodoma Regional Hospital, alisadirishwa hadi Nairobi kwa matibabu.

Akiwa pale Agakhan hospital hakuna mwana CCM hata mmoja aliyethubutu kumtembelea pale hospitalini zaidi ya Makamu wa Rais wa wakati huo Samia Suluhu. Waliogopa kwa kuwa Magufuli hakutaka Lissu awe hai na hakutaka afarijiwe Wala kulipiwa matibabu.

Kama Lissu atamnanga Rais SSH kwa mdomo wake mchafu basi LAANA kubwa itampata kwa kukosa SHUKRANI
Umewahi kufanya siasa?😂😂😂😂
 
Mleta mada ni tahira, Lisu ni Liberal, yupo upande wa Samia 100%! K gang baada ya kukosa sapoti ndani ya CCM mnatafuta upinzani, mmefail kabla hata hamjaanza, Samia anaondoka 2030 anamwachachia January, Ngumu kumeza hiyo, mezeni hivyo hivyo, hatutakubali kutawaliwa na washamba tena
Akili za kisoda....
 
Mkuu Suzy, amehakikishiwa usalama wake kama alivyotoa sharti, au anarudi tu kichwa kichwa?
Feeling sorry for rob amster!
 
Lisu rudi nyumbani Bro, tumezimiss zile "Hakuna rais wa ajabu kama Magufuli", narudia tena "Hakuna rais wa ajabu kama Magufuli", njoo Tundu tusaidiane kuwatoa hawa mafisadi ambao Magufuli aliwaweka kila mahali
 
I am not a state operative, but I don’t believe there will be room for any destabilizing political maneuvers. Nchi lazima isonge mbele!

Wasipende kujaribu watu. Hata elastic material zina breaking point.

..wenye uwezo wa ku-destabilize nchi hawako kwenye vyama vya siasa, wako kwenye vyombo vya dola.

..waliotaka kumpindua Mwalimu Nyerere walikuwa kwenye vyombo vya dola.

..waliomuua Sheikh Karume walitokea ktk vyombo vya dola.

..Vyama vya upinzani hapa Tz vimeundwa na watu wanaopenda amani na utawala wa sheria.
 

29 December 2021​

Chadema wazungumzia hali ya kisiasa Tanzania 2021 kuelekea 2022​


Kamati Kuu ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema jana ilifanya kikao chake na kujadili ajenda kuu moja ambayo ni ‘Hali ya Kisiasa nchini humo kwa mwaka 2021’ lakini ajenda hiyo ilibeba hoja nyingine nne. Florence Majani amefanya mahojiano maalum na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanzania Bara, Singo Benson Kigaila ... Source : Chadema wazungumzia hali ya kisiasa Tanzania 2021 | DW | 29.12.2021
 
Wastaafu wameona mbali waanza kutoa kauli za hekima :

https://www.ippmedia.com › habari
Malecela ataka machifu wamsaidie Rais Samia - IPP Media

19 Dec 2021 — WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amewataka Machifu wote nchini kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kuitawala nchi na ...
malecela ataka machifu wamsaidie Rais Samia Hassan from www.ippmedia.com


Habari za ziada:
9 September 2021

MAJUKUMU YA KIAPO CHA YAMINI CHA CHIFU MKUU HANGAYA

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu Tanzania(UMC), Chifu Msagata wa Uchifu wa Unyanyembe Tabora alisema “Sasa una mamlaka ya kuwaita watu kwa vikao vyako kwa sababu una mamlaka, wewe ni kiongozi shupavu, imara, mkakamavu, mweledi, uwaongoze watu wako kwa amani.”




Videos
 
Back
Top Bottom