92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Napenda kutuma salamu kwa raraa reree Extrovert To yeye cocastic Lucas mwashambwa Mpwayungu Village Mshana Jr UMUGHAKA simjui hata mmoja ila wote mnanifurahisha kwa post au comment zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Amen😂😂😂
Hatutafikia huyo kwa jina la Yesu
Usumbufu sbb mnanichaguliaHabadiliki tangu mtoto n msumbufu
aminSawa Dada Kila lenye heri
Sasa. Gily nae si mtuUsumbufu sbb mnanichagulia
Amen kubwaSema Amen
My wangu [emoji3059][emoji8] umewaza kama mimi [emoji1787]
Ujumbe mzuri kipenzi nakupenda mnyaki wangu [emoji3059][emoji8] barikiwa sanaaaNatuma salamu kwa
National Anthem
Half american
Countrywide
Tayukwa
Elli
Analyse
Bujibuji Simba Nyamaume
Mshana Jr
Waterbender
proton pump
Mzee wa kupambania
mzabzab
raraa reree
kajamaa kadogo
Na wanaume wote niliowasahau
Wadada nawasalimu:
Ms eyes
Lovelovie
Lovie Lady
Amehlo
Kapeace
Dahan
Aaliyyah
Antonnia
mama D
Unique Flower
dadapesa
Numbisa
Hannah
Demi
Kelsea
Bantu Lady
Shunie
Myangu
Na wengine niliowasahau
NAWAUSIA PENDANENI NYINYI KWA NYINYI[emoji173] Nawapenda sana ndugu zangu wanajf
[emoji1787][emoji1787] Amehlo hii kamati inatufaa sanaLenie chukua hela hapo mezani, Kisha muite mpwa wangu Leejay49 , mwambie aende kwenye duka la mangi Gily anunue mahitaji ya leo. Patakuwa na ugeni mkubwa sana, maana Joannah kasema anamleta rasmi Equation x aje tumtambue, kwa maelezo niliyopata, huyu mkwe wetu ni mchanganyiko wa mbegu ya kiafrika na ulaya, kiufupi ni Half american , amesoma, anaelimu nzuri ya biashara, vijana wa mjini wanasema ni Intelligent businessman , sio maneno yangu hayo ni To yeye mwenyewe ndio kasema.
Hakikisha taarifa zinafika kwa majirani zetu Lovie Lady na Nourhan ili waje kusaidia kupika, maana Lovelovie peke yake hatoweza. Ila usialike watu wengi, Watu8 wanatosha. Mwambie Mzee wa kupambania ahakikishe tunapata matent, maana mvua inaweza kunyesha.
Pia kama una namba ya Depal plz mpigie, nasikia ni mpambaji mzuri sana. Ila usisahau kumkubusha Dejane aje in time, aje na dada yake Nuzulati , kuhusu Antonnia Sina shaka, maana yeye ndio mc.
Amehlo na Shunie nimesikia watakuja na upande wa mume. Dahan ni camerawoman leo, mwambie apige picha nzuri, na kuhusu malipo yake, asijali because I am The Boss
Salama we mzee habari ya weweHey Shunie salama?
binti kiziwi upo?
Sharamdala sijakuona kitambo ujuwe..!! Upo salama?
Mamy K umepotelea wapi? Nakusalimu
Glenn hivi upo kweli?
Peterrabbit a.k.a Sungura, mzima wa afya?
Nafarijika, hali yangu ni njema sana BFFZimefika BFF, habari ya weye?
Hapana kafia nje tarehe 03/05/2023