Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao

Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao

Kiongozi ushapata mchepuko,nafsi inakusuta
Unataka tukufariji
 
Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao
Mwanaume amani unaipata unapo focus kujijenga kiuchumi na kujiandalia maisha mazuri uzeeni, Amani huipati kwa MALAYA/MCHEPUKO. Kama Mwanaume yajue ya kuzingatia, ili uache kukosa amani kwa ajili ya vitu vya Kijinga.

BUT Naunga Mkono swala la Mwanaume kuwa na Mwanamke zaidi ya Mmoja, ila hakikisha hao wanawake una malengo nao ya kutengeneza Familia.

Na pia hao wanawake uwe na uwezo wa kuwahudumia, kuwatunza, kuwalinda na kuwatia boloYeung kisawasawa. Na sio tu kutembeza mashine kwa sababu za kifala kama kutafuta amani na other BS.

Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni vizuri, ila kuwa na zaidi ya mmoja ni vizuri zaidi.

Be a Man, usiendeshwe na ngono. Focus na ishu za Msingi.
 
Chukua si kila mwanaume mwenye mchepuko anapenda kuwa naye bali wengine wanatafuta amani wanayo ikosa kwa wake zao
20240730_164023.jpg

Aiiiiiiii aiiiii
 
Umkute mstaarabu,mwingine waweza jiuliza Mara 2,2...nilianzaje?
 
kwa hiyo na sisi tukikosa amani tufanye nn? tufue nguo na kupalilia maua? kiendacho kwa kasi hurudi kwa kwa kasi hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom