Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Hakuna Uchawi wenye Nguvu juu ya wana wa Mungu πŸ˜€ Hata wakifanya kafara zao wakichinja nikikuta kondoo kachinjwa naenda kumpika nakula, Nikikuta nazi imevunjwa naenda kupikia mchuzi πŸ˜€
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha...

Well....

Wiki iliyopita dogo mmoja na jirani yangu msela mbaya amekuta UNGO mpya chini ya mwembe mkubwa ndani yake ulikuwa na NDIZI KISUKARI...kajilia zile ndizi zote na ungo kampelekea demu wake....baada ya masaa 24 wazazi wake waliwaita WACHUNGAJI WA TAG hapo kwao.....

Wewe endelea tu kula hizo nazi za njia panda...ha ha ha
 
Siwezi bisha unachoamini lkn kisayansi hii miti panda mbali na nyumba kwakua mizizi yake inaenda mbali sana na kuhatarisha nyumba kua na mipasuko au kuja angusha nyumba baadae hiki ndio ninachofahamu
 
Umeongea ukweli, ukitaka kuujua ustaarabu wa mji fulani wewe anza kuangalia namna wanavyojali mazingira na kuyatunza.

Angalia miji ya wenzetu hata vijijini mazingira ni yametunzwa, njoo Africa sasa ni kichefuchefu.
 
Umeongea ukweli, ukitaka kuujua ustaarabu wa mji fulani wewe anza kuangalia namna wanavyojali mazingira na kuyatunza.

Angalia miji ya wenzetu hata vijijini mazingira ni yametunzwa, njoo Africa sasa ni kichefuchefu.
Nadhani ni hulka mbaya tu za baadhi yetu....ila wako wenye maarifa ya kutambua umuhimu wa miti.....

Mwafrika gani mjinga ataidharau miti ilihali mpaka leo hii wanaokwenda hospitali ni 70% tu ?!!
 
Inaumiza sana mwenyewe wakati unashusha huu uzi uliamini unatoa madini sana kumbe watu wanakuja kukudharau. ni ngumu sana kuiondoa CCM kwa vijana kama wewe kuendelea kuwepo nchini.
 
No reform, no Election
 
Mxiuu
 
Mbaazi ni mti? Wewe umewakilisha kundi kubwa la WAJINGA wanaowaza ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…