Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

Mkuu nikinunua hisa za milioni 200 voda gawio naweza pata kiasi gani kwa mwaka? Kwa mtazamo wako, kununua hisa za milioni 200 na kununua kiwanja cha biashara chenye thamani hiyo ni upi uwekezaji bora?
Wekeza kwenye shamba mkuu
 
Mjuzi wa uwekezaji.....
1.Tuambie ulitumia vigezo vipi mpaka ukaone benki ya walimu inafaa na ukaamua kanunua hisa za benki ya walimu...?

2.Au ulinunua hisa kwa kukurupuka kisa ulisikia kuna IPO mpya sokoni.....?
Kwani investment decision criterias sizipo? Return on investment, principal protection, adequate cash flow, abtrage iniquities, company management, previous performance, cunsumer perspectives, being optimistic etc.
 
Kwani investment decision criterias sizipo? Return on investment, principal protection, adequate cash flow, abtrage iniquities, company management, previous performance, cunsumer perspectives, being optimistic etc.
Sasa sindo una share jukwaani....watu wanaelimika.....
Aya ,uliangalia criteria zipi....
Itupe uchambuzi wako ulikuwaje....
 
Ila hela haikui in Value ...Nenda kasome about stocks halafu ndiyo uje kwenye mjadala mkuu...
Kuna video youtube,kuna online courses....
Nakosa muda wa kushiriki, simu haina chaji ya kutosha. Ila natamani sana watu wakuelewe wewe. Unasema ukweli ambao natamani mtu asiye kwenye biashara afuate maelezo yako. Bravo.

Ova
 
Gharama ya hisa 1 ya voda = 550
mtaji wako ni 200,000,000

Idadi ya hisa utakazopata = mtaji wako /gharama ya hisa 1
=200,000,000/550
=363,636
so kwa hiyo hela utapata hisa 363,363

GAWIO
kwa mwaka wa fedha wa 2023
Bodi ya Vodacom Tanzania imependekeza gawio la Tsh.12 kila hisa 1.
jumla ya gawio= gawio kwa hisa x idadi ya hisa unazo miliki
=12 x 36,3636
=4,363,632
=Utapata tsh 4,363,632 kama sehemu ya faida ya kampuni yako ya Voda kwa mwaka 2023.....

Kwa mwaka 2021 sijaona kama walitoa gawio.
hili ndiyo Gawio lao dogo kulitoa kwa kipindi cha miaka 5,Gawio lao kubwa kutoa lilikuwa Tsh 24,ambapo lingekufanya upate tsh million 8+
Khaa siwezi hii kitu bora nikapambane kivingine
 
Hisa zao ni gharama kuliko za makampuni yote DSE,,,
kila Hisa 1 ina gharama ya 17,000tsh ila kumbuka hisa zinauzwa kuanzia 10 ambapo ni 170,000tsh
ila ndiyo kampuni pekee ambalo halikuteteleka kwenye kipindi cha COVID,mana walitoa gawio hadi kipindi hiko,,,,wavuta sigara wana upendo sana.
Natamani utoe elimu sana kuhusu huu uwekezaji wa hisa, wengi hatuna elimu nao
 
Sasa sindo una share jukwaani....watu wanaelimika.....
Aya ,uliangalia criteria zipi....
Itupe uchambuzi wako ulikuwaje....
Mm nilinunua kwenye primary market initial public offering ( IPO) wala sio secondary market. Kwahyo issue kama liquidity kwa maana niliamini they can easily be changed to money in secondary market, customer base maana niliona benki ya walimu itakuwa na base kubwa ya mtaji wa walimu nchini. Easily expansion and growth kwa sababu nilijuwa among majority share holders kitakuwa chama cha walimu CWT kwahyo kwa sababu wana infrastructures za majengo mpaka wilayani issue ya kukua kwao haitakuwa shida. Management structure nikigezo kingine maana nilifahamu kwenye wajumbe wa bodi miongoni mwa wawakilishi watakuwa ni wanobezi wa uwekezaji kutoka mifuko ya ifadhi ya jamii kwahyo sikuwa na wasi wasi but the lest is history.
 
Hiyo 200M ni BTC 5-6 ukinunua wakati imeshuka kwa -9% Usiku inapanda vibaya mno unauza unapata si chini ya 20M
 
Siyo kiwanja. Ni ardhi. Unaeeza kununua miji tofauti tofauti pamoja na assets zingine kama ulivyochangia.
Hiyo ardhi lazima iwe na hadhi ya Kiwanja,,,mana hata kuna ardhi ina msitu tu,,,hauwezi nunua hii....
 
Wekeza kwenye shamba mkuu
Wilaya ya Mvomero inaoongoza kwa Mashamba pori hapa nchini,,,kuna mashamba ya Heka 200 kibao ambayo yapo tupu na ni vichaka tu....Kwa aliyenunua maeneo huko,Hakuna faida iliyoingia mpaka sasa... ...

Uwekezaji wowote lazima ufanywe kwa malengo na mkakati.
 
Milioni 200 kuzalisha milioni 4 kwa mwaka ni hasara na upotevu wa muda.
Mtu mwenye mtaji wa milioni 200 anatakiwa kuipata faida ya milioni 4 ndani ya wiki 1 tu.
Pia anaweza kuingia Hasara ya miliioni 4 kila wiki...
 
Nakosa muda wa kushiriki, simu haina chaji ya kutosha. Ila natamani sana watu wakuelewe wewe. Unasema ukweli ambao natamani mtu asiye kwenye biashara afuate maelezo yako. Bravo.

Ova
Kuna watu wanachangia mada kwa kuumbuana,,,,,Lengo la mie kuweka nyuzi za Namna hii ni kuelimishana juu ya Masoko ya mitaji na kushikilia uchumi wa nchi yetu sis wenyewe......
 
Natamani utoe elimu sana kuhusu huu uwekezaji wa hisa, wengi hatuna elimu nao




Pitia baadhi ya Nyuzi nilizoandika juu ya Soko la Hisa na mitaji.
 
Back
Top Bottom