Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Nimejikuta naangalia juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haisaidii kiongozi. Hii kitu inatembea km 28000 kwa saa, hata ukiangalia juu huwezi kuikwepa!Kwa hiyo tuwe tunatembea huku tunaangalia juu
[emoji23][emoji23]Na uzito wa elementi ukitoka hapo unaenda kupigwa X rays
Mie niko kijiji cha jirani hapa, chuma iko speed mbaya mbovu. 😀😀imepita shambani kwangu muda siyo mrefu
Fursa hiyo nafungua office ya massage ya shingoPata picha umati wote tunatembea rukiangalia juu
Tahadhari ni bora ila mkuuHaisaidii kiongozi. Hii kitu inatembea km 28000 kwa saa, hata ukiangalia juu huwezi kuikwepa!
[emoji23][emoji23]Haionekani halafu imepita misri ? au mimi ndo sijaelewa
Inaenda kutua NEW YORK CITYHawa Wachina wanataka ugomvi hawana jengine.
Ikaangukie kwenye kaburi la JiweIngekuwa ni kipindi cha Mkulu, watu wangesema "ikaangukie magogoni.
Watu tupo shopping ya Eid!Hala hala isije ikaangukia Kariakoo jamani maana ndio nipo hapa sahizi.
[emoji16][emoji16]Kwa hiyo tuwe tunatembea huku tunaangalia juu