Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana.

Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena.

Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi.

Tayari Watu wa Matawi na baadhi ya Waandamizi wameonya asihusishwe katika Siri za Tukio la Jumamosi.

Baada ya Viongozi kuombwa waachane nae na Kukaidi sasa kuna Usaliti utafanywa ili Waumie Jumamosi wamtimue.

Na kinachofanya Jamaa awanyenyekee na ajipendekeze Kwao ni kwamba Ajira ya Mbagala aliyoiota ameshatoswa.

Kwa hivi sasa lawama zote za Kufanya vibaya anapewa MSG kwa Kuleta Nuksi kubwa iliyo na Laana ambayo inawamaliza.

Huenda Jumamosi Ajira ya Mtu ikafikia Kikomo huku akiwa Kaumuka kwa Kipigo kutoka kwa Watu ambao hawakumtaka.

Namalizia kuwa Kimeshanuka Baharini!!
 
Kumekucha Salama
Huyo Kazi Anayo
Kuna Zengwe Kubwa linaendelea huko ambalo siyo la nchi hii. Watu ( hasa Viongozi ) wa Matawi hawamtaki na hawataki ashirikishwe katika Siri zozote na Mipango yoyote ya Tukio la Jumamosi wakihisi kuwa anaweza Kupenyeza kule alikotoka kwani anajulikana ni Msaliti, Mnafiki na mpenda Pesa sana.
 
Jamaa nyuzi zake uwa zinafanya Wa Kulya wote waonekane wanatabia kama zake. Ana i dhalilisha jamii yake kwa kuandika vitu vya ajabuajabu.
 
Jamaa nyuzi zake uwa zinafanya Wa Kulya wote waonekane wanatabia kama zake. Ana i dhalilisha jamii yake kwa kuandika vitu vya ajabuajabu.
Kumbe Mightier ni Mkurya? Nilikuwa sijui Ndugu. Vipi huyu Jamaa unayedai ( unayesema ) ni Mkurya ndiyo anakukaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…