Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

Wananchi hawanaga uvumilivu.

Namshauri ajitoe mapema, akichelewa kuna siku watamuondoa kwa kumuwamba makofi. Picha ya kule Nigeria alivyopaniki hadi akavutwa pembeni, inahakisi uhalisia wa kitakachomkuta.
 
Kumbe Mightier ni Mkurya? Nilikuwa sijui Ndugu. Vipi huyu Jamaa unayedai ( unayesema ) ni Mkurya ndiyo anakukaza nini?
Wewe bado ushamba haujakutoka, wenzako wengi walio chunga ngo'mbe mbaka form four kama wewe ni wastaarabu ila tangu uweze kutumia mitandao ya kijamii unaonekana Limbukeni. Ila najua ukifikisha miaka kumi apa Town tabia zako zakishamba zitapungua.
 
Wewe bado ushamba haujakutoka, wenzako wengi walio chunga ngo'mbe mbaka form four kama wewe ni wastaarabu ila tangu uweze kutumia mitandao ya kijamii unaonekana Limbukeni. Ila najua ukifikisha miaka kumi apa Town tabia zako zakishamba zitapungua.
Chuki yako Kwangu ni kwakuwa nimeacha Kukukaza au? Kwani Wakazaji wengine huko Kwingineko si wako wengi tu na unaweza pia Ukawashobokea kama unavyonishobokea Mimi Kutwa ( 24/7 ) tu hapa JamiiForums?
 
Ndugu amini usiamini labda aombe Jumamosi iwe upande Wao ila kuna Wadau wangu wa Matawi ya Ubungo, Tandale na Tegeta wamepanga Kumfanyia Kitu mbaya kama Jumamosi itakuwa mbaya Kwao Temeke Stadium.
Na ile jumamosi ni ngumu kwa nilivyoona kule alikotoka wanavyoupiga mwingi ,zikipungua ni 3
 
Simba kazi mnayo,Mzimu wa Manara utawatesa sana mpaka mkome na mjute kumfahamu.Mtapata tabu sana mwaka huu
 
Wananchi hawanaga uvumilivu.

Namshauri ajitoe mapema, akichelewa kuna siku watamuondoa kwa kumuwamba makofi. Picha ya kule Nigeria alivyopaniki hadi akavutwa pembeni, inahakisi uhalisia wa kitakachomkuta.
Wivu unawasumbua,Mna chuki binafsi na Manara,Mzimu wake utawatesa sana mwaka huu mpaka mkome na mjute kumfahamu.Kila kukicha Manara,Manara,Manara hamchoki tu kumsema mme wa mtu mnamtakia nini nyie,wengi wenu mmejawa na wivu wa maisha kinawauma sana mnaona Manara katoboa kimaisha wewe kutoka kulipwa Posho Tsh. laki Saba mpaka kulipwa Tsh . Mil 9 na ushee.Ni hatari wengine lazima muweweseke na kujawa na wivu wa kike
 
Wanakufa ama 2 kwa 0 au 4 kwa 1 Ndugu.
Jiandae kisaikolojia .Yanga si ya kawaida unavyofikiria ina wachezaji wazuri kuliko wa Simba kwa kuthibitisha Hilo subiri jumamosi siyo mbali.Msimu uliopita tumekunyanyasa sana umejisahau kule kigoma ulianza kuchangamka baada ya kadi nyekundu kumbuka ulikuwa Yanga ile siyo hii ya wakina Djuma,Bangala,Aucho,Makambo,Mayele n.k .Narudia tena jiandae kisaikolojia kazi unayo na hivi umezoea kufungwa na Yanga Mara kwa Mara tegemea kupata kipigo kitakatifu.
 
Na kuna wengine kutokana na alivyo wameshauri ndiyo awe Mbuzi wa Kafara kwa Mafanikio ya Tukio Muhimu la Temeke Stadium Jumamosi.
Mmmh hatari Sana,mwana kulitafuta mwana kulipata,chawa anazidi kuumbuka ,wenyewe wanamsema " Mnafki Hana rafiki"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…