Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

Nimemsikia Mzee Juma Magoma wa Yanga anahojiwa na Kitenge,msukule hautakiwi na wenye Yanga yao,ni suala la muda tu watamnywa supu huyu nyamambichi.
 
Nimemsikia Mzee Juma Magoma wa Yanga anahojiwa na Kitenge,msukule hautakiwi na wenye Yanga yao,ni suala la muda tu watamnywa supu huyu nyamambichi.
Kitenge alikuwa anajitahidi sana kumkatisha Mzee asiongee Povu lake, pamoja na Kitenge kuongea mikelele ili Mzee asisikike ila Mzee aliendelea kutema nyongo.

Leo nimeamini hawa waandishi wanatumika ili kulinda maslahi ya Yanga.
 
Namshauri kwa usalama wake asije uwanjani Jumamosi kwenye mechi ya ufunguzi wa Ligi.

Hawatamwacha salama.

Kama alivyosema mwenyewe watamuwamba mikofi pa pa pa
Na anajua sana jazba ya wanayangafrika.
 
Kitenge alikuwa anajitahidi sana kumkatisha Mzee asiongee Povu lake, pamoja na Kitenge kuongea mikelele ili Mzee asisikike ila Mzee aliendelea kutema nyongo.

Leo nimeamini hawa waandishi wanatumika ili kulinda maslahi ya Yanga.
Kitenge alitumia nguvu kubwa Mzee asipasue buyu lakini naye dingi kakomaa, Haji Manara ni kirusi. Hamkani si shwari tena msukule lazima upigwe ban
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…