Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Mkuu, hapana. Kubali matokeo. Ni goli lipi uliloona kipa kaachia makusudi?

Kapelekewa moto wa kweli mara zote hizo 5 na hakuweza kuuota. Kwani siku zote si kipa?

Kwa hiyo kwenye tu game la Yanga ndo hakubaliki?

Acheni kutafuta sababu, mmefungwa. Full stop
Wanajiliwaza tu ile inaitwa mwana ukome
 
Mashabiki wa Tanzania ujuaji mwingi kutaka kila mechi mchezaji lazima juu ya kiwango kile kile jambo ambalo haliwezekani hata ulaya nyie ndio mnawapa presha makocha na wachezaji wanashindwa kufanya majukumu yao ipasavyo

Mechi tatu mchezaji akifunga mnamsifia mechi inayofuata akicheza chini ya kiwango tayari mnaanza kusema kazeeka

Halafu kitu kingine timu kufungwa goli nyingi haina maana kwamba timu ni mbovu ni jambo linaloweza kutokea hata ulaya ipo hivyo
Objective football VS tactical objective football with speed than yours
 
Hizi shutuma zinahitaji uthibitisho kwani zinagusa HISIA za makundi mengi ndani ya Jamii, wanaume, wanawake , wasomi , viongozi, watoto, sponsors, media, authorities, international, wachezaji wadogo wanaokuwa ktk football industries

Si jambo dogo dogo hata kidogo, kama kuna any primary evidence hata kama ni ndogo kiasi DOLA I- take very serious measures,..... very serious..
For soccer health .

Kama kuna any Attempt by YANGA, this to be taken as an example, but if there is any mazingira. Even Any mazingira..!! Narudia ....

NBC LEAGUE ilishaanza kupata HESHIMA, lakini kwa haya MADOA...!!!!
 
GENTAMYCINE ni ZAWADI YENU KUU NA TUKUKA WANA JAMIIFORUMS WOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU ila bahati mbaya tu Wengi wenu bado hamjalitambua hilo ila Ubarikiwe Wewe kwa kuwa wa Kwanza Kulitambua.

GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" sawa Mkuu?
Hahaaaaa
 
Pumbavu.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
Hatuwezi kukuacha uendelee kuchafua ulimwengu wa soka. Tutakuchana live kila ukileta upuuzi hapa.
 
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.

Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.

Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili naomba kujua ni kwanini Siku Tatu kabla Kipa Aishi Manula alisema hataki kudaka ila Usiku wa kuelekea katika Mechi Yeye na Kiongozi mkubwa wa Simba SC na Rafiki yake mwenye ukaribu wa Kibiashara na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC walienda kwa Kocha Mkuu na kutaka apangwe Manula Golini wakati tayari Kocha alikuwa ameshaamua kuwa Kipa All Salim ndiyo adake Jana?

GENTAMYCINE nikikuletea Taarifa hapa nakuomba uichukue kwa 100% kwani sibahatishi na Chanzo changu cha hii Taarifa ni Mchezaji Mwandamizi kabisa aliyeko ndani yao (Kikosini) kabisa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Mzushi tu wewe, huna sera. Simba imepigwa kihalali, wacha kukuza matukio
 
Back
Top Bottom