Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Wanatafuta tu wa kumuangushia jumba bovu. Hamna timu mle Mwakarobo FC wazee wa kulalamika.Kama wachezaji walihongwa na uongozi una uhakika,kwa nini wamemfukuza kocha!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta tu wa kumuangushia jumba bovu. Hamna timu mle Mwakarobo FC wazee wa kulalamika.Kama wachezaji walihongwa na uongozi una uhakika,kwa nini wamemfukuza kocha!?
Halafu kuna mazombie yanampa creditsMbona kichwa cha habari umeki edit ?
Tofauti na kichwa cha habari cha mwanzo baada ya hii habari ya wachezaji kufungiwa kutoka. huku ni kupotosha watu.
Hawezi kukujibuKama wachezaji walihongwa na uongozi una uhakika,kwa nini wamemfukuza kocha!?
Kwa ule mpira papatu papatu kwa akili zako ndogo ulijua Tinyo atadumu Simba kabla msimu huu kuisha? Pole sana.We jamaa GENTAMYCINE ni mchawi sio Siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulitabiri kuhusu Kufukuzwa kwa Robetinho ikatokea na Umetabiri kuhusu Hiki na limetokea
Kweli kabisa! Kama wewe ni mtaalamu na unajua kazi yako Kwa nini ukubali ushauri unaokupotosha? Basi wewe hujui kazi yako! Kama ni hivyo kweli basi kocha hajui kazi yakeKwamba kocha alikuwa tayari na kikosi chake ila baada ya wachezaji kumuomba akakipangua? Basi shida ni kocha na si hao uliowataja.
Huyu jamaa apewe maua yake,,wengi tulimchukulia kawaida kumbe mh!We jamaa GENTAMYCINE ni mchawi sio Siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulitabiri kuhusu Kufukuzwa kwa Robetinho ikatokea na Umetabiri kuhusu Hiki na limetokea
Uzi wa mwanzo kabla ya kufutwa mliuona? Huoni kuwa huu Uzi tittle yake imebadilishwa kwa kupachikwa majina ya hao wachezaji huku kwenye contents kukiwa hakuna majina ya wachezajiHuyu jamaa apewe maua yake,,wengi tulimchukulia kawaida kumbe mh!
Sent from my CPH2481 using JamiiForums mobile app
Halafu kuna mazombie yanampa credits
Content hata wewe ungeweza kubashiri kwa hali halisi ilivyo,hakuna jipya hapo.Mambo mengine hayahitaji vita. Kulikuwa na ulazima wa kutaja watuhumiwa wote. Content inatosha mpeni credit zake ndugu Gentamycine
Timu ya sita kwa ubora afrika yala bao Tano za motooo. Laivu! 😂🙌Goli tano kwa team iliyopo top 10 Africa sio mchezo sheikh...
Ethnical harassment.. kama vipi turudiane wikend hii mambo yasiwe mengi. Nyie wetu tuuNi kweli tumefungwa lkn kufungwa huku Kuna namna ipo sio bure. Hawa wachezaji wa kigeni wachunguzwe hasa Inonga
Wamemtimua aiseeMchawi wenu kocha
Si walikuwa wanasema yanga wanacheza na timu mbovu kumbe simba ni timu mbovu kulikoWaliotuuza (Kama ni kweli) ni wahaini na wasaliti.
Ila hichi kipigo kituamshe kuboresha na kurekebisha mapungufu ya timu yetu.
Huu Uzi niliuleta hapa Jana ukiwa Umekamilika kuanzia katika Headline na Content ila kwasababu wanazozijua Moderators WAKAUFUTA na WAMEURUDISHA tena hii Leo baada ya KUWAHOJI kwanini WALIUFUTA wakati GENTAMYCINE nina uhakika nao 100%?Mbona kichwa cha habari umeki edit ?
Tofauti na kichwa cha habari cha mwanzo baada ya hii habari ya wachezaji kufungiwa kutoka. huku ni kupotosha watu.
Usipomuamini GENTAMYCINE kwa Habari zote za Michezo ( hasa za Tanzania ) na hasa zile Ngumu, za Hatari na za Kiuchunguzi kutoka Simba, Yanga na TFF unataka Umuamini nani tena?ITABIDI NIANZW KUKUFATILIA VIZURI INAONEKANA KUNA MADINI HAPA