Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Halafu kuna mazombie yanampa credits
Nikiwaambia hamna Akili na ni Mapunguwani mnachukia. Unashupalia kuwa eti Uzi wangu ume editiwa katika Content tofauti na ulivyokuwa mwanzo kwa Kufurahia majina ya Wachezaji hayapo? Sasa kama mmefurahia Majina ya Wachezaji hayapo katika Content mbona hamjiulizi kuwa Majina ya Wachezaji husika bado yako ( yameachwa ) katika Thread Headline yangu?

Mnaacha Kuchangia Mada kama Wenzenu Wengine wenye Akili hapa Jamiiforums nyie Kutwa tu mmewekeza kuja Kuchafua Threads za GENTAMYCINE kwa Kumchokoza, Kumdhihaki, Kumshambulia, Kumdhalilisha na Kumtukana mkiamini mtamvunja Moyo na mtampunguzia Umaarufu wake mkubwa wakati kumbe ndiyo Kwanza mnanipaisha tu huku nyie taratibu mkianza Kudharauliwa na Kupuuzwa.

Mkipunguza au Mkiacha Kunichukia na Kunionea Wivu kwa Umaarufu, Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa Jamiiforums, Baraka ( Talanta ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu na Akili Kubwa / Upeo mkubwa nanyi mtakuwa Bora kama Mimi tofauti na mlivyo sasa kuwa Wapumbavu na Waswahili.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
 
Uzi wa mwanzo kabla ya kufutwa mliuona? Huoni kuwa huu Uzi tittle yake imebadilishwa kwa kupachikwa majina ya hao wachezaji huku kwenye contents kukiwa hakuna majina ya wachezaji
Nikiwaambia hamna Akili na ni Mapunguwani mnachukia. Unashupalia kuwa eti Uzi wangu ume editiwa katika Content tofauti na ulivyokuwa mwanzo kwa Kufurahia majina ya Wachezaji hayapo? Sasa kama mmefurahia Majina ya Wachezaji hayapo katika Content mbona hamjiulizi kuwa Majina ya Wachezaji husika bado yako ( yameachwa ) katika Thread Headline yangu?

Mnaacha Kuchangia Mada kama Wenzenu Wengine wenye Akili hapa Jamiiforums nyie Kutwa tu mmewekeza kuja Kuchafua Threads za GENTAMYCINE kwa Kumchokoza, Kumdhihaki, Kumshambulia, Kumdhalilisha na Kumtukana mkiamini mtamvunja Moyo na mtampunguzia Umaarufu wake mkubwa wakati kumbe ndiyo Kwanza mnanipaisha tu huku nyie taratibu mkianza Kudharauliwa na Kupuuzwa.

Mkipunguza au Mkiacha Kunichukia na Kunionea Wivu kwa Umaarufu, Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa Jamiiforums, Baraka ( Talanta ) nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu na Akili Kubwa / Upeo mkubwa nanyi mtakuwa Bora kama Mimi tofauti na mlivyo sasa kuwa Wapumbavu na Waswahili.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
 
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.

Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.

Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili naomba kujua ni kwanini Siku Tatu kabla Kipa Aishi Manula alisema hataki kudaka ila Usiku wa kuelekea katika Mechi Yeye na Kiongozi mkubwa wa Simba SC na Rafiki yake mwenye ukaribu wa Kibiashara na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC walienda kwa Kocha Mkuu na kutaka apangwe Manula Golini wakati tayari Kocha alikuwa ameshaamua kuwa Kipa All Salim ndiyo adake Jana?

GENTAMYCINE nikikuletea Taarifa hapa nakuomba uichukue kwa 100% kwani sibahatishi na Chanzo changu cha hii Taarifa ni Mchezaji Mwandamizi kabisa aliyeko ndani yao (Kikosini) kabisa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
robetino ameliwa kichwa, amelalamika hayo? unafikiri amependa kuliwa kichwa? na kama ameliwa kichwa akijua alihujumiwa unafikiri angenyamaza kimya? si angemwaga mboga. hizi suspecion hazina mashiko. timu ya simba ni mbovu msimu huu. hata kama ingekuwa nzuri, basi ni tibu nzuri ila sio nzuri kuizidi Yanga.
 
Huu Uzi niliuleta hapa Jana ukiwa Umekamilika kuanzia katika Headline na Content ila kwasababu wanazozijua Moderators WAKAUFUTA na WAMEURUDISHA tena hii Leo baada ya KUWAHOJI kwanini WALIUFUTA wakati GENTAMYCINE nina uhakika nao 100%?

Hivyo haya Mapungufu unayoyaona baada ya KUURUDISHA siyo yangu ni yao Wenyewe na nashangaa kuona Wewe na Mpumbavu Frank Wanjiru mnanishangaa na kama vile Mnanisuta.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Selemani wee
FB_IMG_16992583151771630.jpg
 
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.

Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.

Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili naomba kujua ni kwanini Siku Tatu kabla Kipa Aishi Manula alisema hataki kudaka ila Usiku wa kuelekea katika Mechi Yeye na Kiongozi mkubwa wa Simba SC na Rafiki yake mwenye ukaribu wa Kibiashara na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC walienda kwa Kocha Mkuu na kutaka apangwe Manula Golini wakati tayari Kocha alikuwa ameshaamua kuwa Kipa All Salim ndiyo adake Jana?

GENTAMYCINE nikikuletea Taarifa hapa nakuomba uichukue kwa 100% kwani sibahatishi na Chanzo changu cha hii Taarifa ni Mchezaji Mwandamizi kabisa aliyeko ndani yao (Kikosini) kabisa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Mmmmm
 
Na hapa ndio tunafeli pakubwa sana!!.
Kaburi la Simba lilishachimbwa zamani sana, kuzikwa kulikuwa kunaendelea polepole na Simba wenyewe wanajua.
Usajili mbovu na wa mihemko na hii ni kwa wachezaji hadi makocha.
Preseason mbovu kabisa ya kuungaunga na kulazimisha kwenda Ulaya kupoteza muda.
Simba boli limeacha kutembea kitambo tu. Hakukuwa na LUNYASI tena. Watu wamehoji muda tu juu ya pira papatupapatu ambalo halijazoeleka kupigwa na Simba. Utetezi ukawa sasa ni OBJECTIVE FOOTBALL.
Simba kupigwa nyingi lilikuwa ni suala la muda tu. Dalili zilionekana kwenye ngao ya jamii. Ni kwa kuwa magoli hayakufungwa. Mpira aliopiga Yanga kwenye ngao na pressing waliyokuwa wanafanya hii ya kwa mkapa ilikuwa cha mtoto. Siku ile movement za viungo wa Yanga zilikuwa hazijasomana.
Angalia mechi ya Mtibwa, pamoja na Simba kushinda utajiuliza ilishindaje. Ilikuwa ni KUDRA ya Mungu tu siku ile.
Yaani Simba kupigwa nyingi lilikuwa ni suala la muda tu. Wachezaji wa Simba wanacheza wakiwa na mpira. Hawakabi, hawapress, hawana fighting spirit take away Kibu.
Timu haiko kwenye hali nzuri on and off the pitch.
Tutibu tatizo kwa upana wake. WANASHINDA LAKINI HAWANA RAHA haikuanza leo na ilikuwa na maana tukaidharau.
 
Haiondoi ukweli kuwa wewe ni mpika majungu mkuu hapa jukwaani. Husaidii lolote katika ukuaji wa soka letu. Moderators threads za huyu bwana ziwe zinapelekwa jamii check, ikithibitika anazusha mambo kila mara piga ban ya maisha.
 
Pumbavu.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
 
Kama yanga inahonga kama simba mnavyodai basi yanga ina pesa ya kuharibu. Haina hata haja ya kutafta wachezaji wa bei mbaya inaweza hata kuchukua wa mchangani ikaendelea kuhonga tu ili iwe inashinda.
Hata kwa madai haya bado maumivu yenu yanabaki pale pale.
Msitafute mchawi jipangeni....
itakuwa kuna kamari wakubwa walichezeshana si yanga
 
Eti yanga ifunge simba goli 5..haingii akilini..walitembeza rushwa ili kununua matokeo ..hawa wachezaji itabidi watomiliwe na wafungiwe kabisa
 
Back
Top Bottom