Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

Wachezaji wapo mazoezini bunju sasa hao waliosimamishwa ni kina nani?
img_2_1699372102407.jpg
 
Kwamba kocha alikuwa tayari na kikosi chake ila baada ya wachezaji kumuomba akakipangua? Basi shida ni kocha na si hao uliowataja.
Kweli kabisa! Kama wewe ni mtaalamu na unajua kazi yako Kwa nini ukubali ushauri unaokupotosha? Basi wewe hujui kazi yako! Kama ni hivyo kweli basi kocha hajui kazi yake

Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine hayahitaji vita. Kulikuwa na ulazima wa kutaja watuhumiwa wote. Content inatosha mpeni credit zake ndugu Gentamycine
Content hata wewe ungeweza kubashiri kwa hali halisi ilivyo,hakuna jipya hapo.
 
Makolo buana! Nyie kubalini kuwa timu yenu ilikuwa mbovu kitambo sema hakukutokea timu ya kuwaonesha ubovu wenu kwa muda mrefu. Mnatakiwa muishukuru Yanga.

Wachezaji wenu baada ya Kibu kurudisha lile goli walirelax wakijua kuwa ile mechi ni yao. Goli la pili la Yanga ndio likawachanganya mkawa mnaenda mbele kutaka kurudisha badala ya kukaba na kushambulia kwa technique.

Mlisajili kwa kuangalia majina na siyo kwa mahitaji ya nafasi zilizohitajika kujazwa. Kwa hiyo mjipange upya. Mpira sio siasa.. mnamleta Manzoki kwenye uchaguzi then what? Mmekula 5 mnaanza kuleta story za vijiweni humu. Hamna timu mjipange upya.
 
Africa mtu hata akifa kwa NGOMA iliyowazi lkn bado atatafutwa mchawi tu
 
Makolo yanaruka na kukanyaga,yanaruka kinyama×2
 
Wapigwe chini wote tusajiri wengine!
Wameboa mashabiki sana hao jamaa [emoji57]
 
Waliotuuza (Kama ni kweli) ni wahaini na wasaliti.

Ila hichi kipigo kituamshe kuboresha na kurekebisha mapungufu ya timu yetu.
Si walikuwa wanasema yanga wanacheza na timu mbovu kumbe simba ni timu mbovu kuliko
 
Mbona kichwa cha habari umeki edit ?
Tofauti na kichwa cha habari cha mwanzo baada ya hii habari ya wachezaji kufungiwa kutoka. huku ni kupotosha watu.
Huu Uzi niliuleta hapa Jana ukiwa Umekamilika kuanzia katika Headline na Content ila kwasababu wanazozijua Moderators WAKAUFUTA na WAMEURUDISHA tena hii Leo baada ya KUWAHOJI kwanini WALIUFUTA wakati GENTAMYCINE nina uhakika nao 100%?

Hivyo haya Mapungufu unayoyaona baada ya KUURUDISHA siyo yangu ni yao Wenyewe na nashangaa kuona Wewe na Mpumbavu Frank Wanjiru mnanishangaa na kama vile Mnanisuta.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
 
Back
Top Bottom