Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wanajiliwaza tu ile inaitwa mwana ukomeMkuu, hapana. Kubali matokeo. Ni goli lipi uliloona kipa kaachia makusudi?
Kapelekewa moto wa kweli mara zote hizo 5 na hakuweza kuuota. Kwani siku zote si kipa?
Kwa hiyo kwenye tu game la Yanga ndo hakubaliki?
Acheni kutafuta sababu, mmefungwa. Full stop
Objective football VS tactical objective football with speed than yoursMashabiki wa Tanzania ujuaji mwingi kutaka kila mechi mchezaji lazima juu ya kiwango kile kile jambo ambalo haliwezekani hata ulaya nyie ndio mnawapa presha makocha na wachezaji wanashindwa kufanya majukumu yao ipasavyo
Mechi tatu mchezaji akifunga mnamsifia mechi inayofuata akicheza chini ya kiwango tayari mnaanza kusema kazeeka
Halafu kitu kingine timu kufungwa goli nyingi haina maana kwamba timu ni mbovu ni jambo linaloweza kutokea hata ulaya ipo hivyo
HahaaaaaGENTAMYCINE ni ZAWADI YENU KUU NA TUKUKA WANA JAMIIFORUMS WOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU ila bahati mbaya tu Wengi wenu bado hamjalitambua hilo ila Ubarikiwe Wewe kwa kuwa wa Kwanza Kulitambua.
GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" sawa Mkuu?
Hatuwezi kukuacha uendelee kuchafua ulimwengu wa soka. Tutakuchana live kila ukileta upuuzi hapa.Pumbavu.
ANGALIZO
Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.
Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
Mzushi tu wewe, huna sera. Simba imepigwa kihalali, wacha kukuza matukioAsante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.
Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili naomba kujua ni kwanini Siku Tatu kabla Kipa Aishi Manula alisema hataki kudaka ila Usiku wa kuelekea katika Mechi Yeye na Kiongozi mkubwa wa Simba SC na Rafiki yake mwenye ukaribu wa Kibiashara na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC walienda kwa Kocha Mkuu na kutaka apangwe Manula Golini wakati tayari Kocha alikuwa ameshaamua kuwa Kipa All Salim ndiyo adake Jana?
GENTAMYCINE nikikuletea Taarifa hapa nakuomba uichukue kwa 100% kwani sibahatishi na Chanzo changu cha hii Taarifa ni Mchezaji Mwandamizi kabisa aliyeko ndani yao (Kikosini) kabisa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Hii taarifa ya kuuza mechi ni chai tuWaliotuuza (Kama ni kweli) ni wahaini na wasaliti.
Ila hichi kipigo kituamshe kuboresha na kurekebisha mapungufu ya timu yetu.