Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Hata mimi nashindwa kuelewa kitu hapa
Nimesoma pia post zingine hizi hapa chini lakini sijaelea kitu
#1, #178, #1
 
KWANINI TUKUAMINI?
 
Picha yake Ngeti kwangu nisiyemfahamu huyu mtu hatari kuliko hao unaosema anawatisha.
 

Mtu yeyote mwenye lengo la kuiua CCM namuunga mkono mia kwa mia
 

Acha kuiabudu CCM . Mimi huyo jamaa namuunga mkono. Apange coup huku tuliondolee jinamizi CCM.
 

..Ccm ikiwa si ndio nchi itapumua?

..watu ambao wako radhi kuua ili mradi wabaki madarakani wana faida gani kwa nchi?

..Na unazungumzia mapinduzi ya Mali, Niger,...mara ngapi Ccm wamepindua matokeo ya uchaguzi Zanzibar?
 
Kife tu tumechoka
 
Tunawahitaji Wagner hapa Tanzania. CCM imetuteka nyara kwa msaada wa vyombo vya Dola, hatuna wa kutetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…