Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

Huyu mwenye hii post ndiye Bollen mwenyewe anajitengenezea mazingira ya kuogopwa akiwa na agenda binafsi. Bollen nimjuae Mimi hana uwezo wa kuangamiza hata taifa la kuku wakati mwenyewe hana pakulala Labda aangamize gazeti lao la Sauti ya Mara. Bollen Mungu anakuona kujipostia posti hatarishi wakati ni uongo utarudi jela kama ulivyochomwa na Musiba enzi ya JPM
 
Bollen ameonekana kwenye Mapinduzi ya Niger, Mali na Burkinafaso. Juzi mmemuona Gaza. Lakini akiwa Tanzania ni kada wa CCM[emoji3064][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku JWTZ, Polisi na TISS wakisimama na kuwa neutral CCM ndio mwisho wake.
Mnatukana sana ndugu zangu na hiyo tu ni sababu ya msingi, tena nzito sana kwa nyinyi wa wasakatonge watetezi wa wanyonge kupuuzwa sana na wananchi na kutokusikilizwa kabisa na taasisi yeyote ya umma au isiyo ya umma ispokua hiyo ya kwenu pekeyenu.....

So,
Utambulisho wenu ni mbaya mno mbele ya jamii kwasabb hiyo. Lakini pia totally hamuaminiki even kwenye taasisi yenu na vilevile hamuaminiki kabisa kwenye taasisi za umma mathalani police,
Ndio maana mkitaka kufanya chochote mnadhibitiwa strongly at a very bigining.
Kwasabu utambulisho wenu wa matusi, uharibifu na fujo ndicho hugonga vichwa vya watu wa ulinzi wakiona mnataka kufanya jambo.
 
Tusi liko wapi hapo?
 
Uliahidi na nani wewe kidampa tu wa kupewa kapelo na T shirt mdebwedo kisha mnapandishwa kwenye matrekta. Wenye CCM yao wanakula mema ya nchi.
View attachment 2831964View attachment 2831965View attachment 2831966
YES,
wananchi wanafurahia kula mema ya nchi, ndicho CCM ilichowaahidi na imetekeleza kwa weledi mkubwa sana na bado....

Ni kweli wananchi wenye CCM yao wanakula mema ya nchi na tshirts wanapata pia....

wananchi na waTanzania wote ndio wenye CCM yao...

Usikiskie vibaya πŸ˜€
 
huyu ndiye huyo mpuuzi? Mbona ni mtu mdogo tu na hawezi kuliangusha dude kubwa ccm. Mbona mnaichukulia ccm poa sana?
nashangaa, eti taka taka kama huyu aiue ccm?.. Jabali Lowasa aliondoka na nyomi ya hatari n bado ccm ikasurvive, alafu iangushwe na huyu nguchiro, hajulikani popote zaidi ya mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…