Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

Chadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama maisha yako ni mazuri Basi fanya uwasaidie wale wanaoshi chini ya dola. Sio kulaumu viongozi.

Be the part of the solution.
 
Chadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ, Kazi kweli.
 
Chadema wataibeba hii kama sera yao ya uchaguzi ukiachana na ile ya jogoo ambayo tayari mgombea wao kaahidi kumshughulikia yule Jogoo ambaye Magu alipewa kama zawadi.
Wanasaccos ya mtaa wa ufipa wanavituko watasema kwanini MH raisi magufuli kala mahindi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Hii siyo kawaida kwa mheshimiwa Rais kufakamia vyakula barabarani. Dumila hupita mara nyingi, lakini hatujawahi kumuona akila mahindi ya kuchoma hadharani!
Kuna uwezekano mkubwa sana, makombora yaliyoanza kurushwa kati jana na leo na mpinzani wake mkuu ndugu Tundu Lissu yameanza kuleta madhara!

CCM msaidieni mpeperushaji wa bendera yenu kwani kimbunga bado lakini kashaanza kupepesuka!
 
Kwani ukila mahindi unavunja sheria yoyote?!
 
Na bado, hizi ni rasha rasha tu, mvua za vuli bado. Hapa nakumbuka zile push-up jukwaani. Ukweli ni kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki bila kutumia nguvu za dola, dhulma na rushwa, CCM lazima ipigwe chali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…