Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

Hii aliyotoa TL sijui Ni spana namba ngapi.?

Maana Kama toolbox bado haijawekwa mezani mambo yako hivi sijui zikitolewa hizo nyingine nadhani Kuna mtu atawehuka!
 
Atabeba zege safari hii. Anafakamia mahindi hivi alisanitize hata mikono kweli ?
 
Walinzi ........ sana mahindi ya kuchoma jau
 
Hii aliyotoa TL sijui Ni spana namba ngapi.?

Maana Kama toolbox bado haijawekwa mezani mambo yako hivi sijui zikitolewa hizo nyingine nadhani Kuna mtu atawehuka!
2015 kuna watu walipiga pushup I guess this time watu watapiga nyeto live
 
Ngoja asahau ang'ate hiyo mike
 
Mnataka Niwapanulie Wapi?
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…