Louis unataka kupanuliwa wapiSorry! Naomba nukuu yake japo kwa ufupi.
Mtasifia sana ila kipigo kiko palepale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Tulizoea kugawa mapesa barabara, tangu tusikie habari ya pingamizi tunakula mahindi tukiwa barabara ni.
[emoji23][emoji1787]Tulizoea kugawa mapesa barabara, tangu tusikie habari ya pingamizi tunakula mahindi tukiwa barabara ni.
Tulizoea kugawa mapesa barabara, tangu tusikie habari ya pingamizi tunakula mahindi tukiwa barabara ni.
πππKinacchouma ni kwamba ana ubaguzi kwanini hajala samaki nchanga hata siku moja kuonyesha mshikamano?
Unapigana na mtu ambaye amefungwa mikono na miguu then unjisifu.Mtasifia sana ila kipigo kiko palepale
Huyu ni ngosha bwana, hali pizza, hayo mapizza tuwaachie wanaopenda junk foods.[emoji39]Showoff mnatuonyesha kwenye camera wanakula mahindi ya kuchoma. Offcamera wanakula pizza,kuku,biliani, na mazagazaga kibao bila kusahau kila mlo haukosi juice fresh na mboga za majani.
kwanini utukane usipite tuu.Hii nayo thread?? mnatafuta watu waongee mseme wanatukana π‘ π‘ π‘ π‘
Hatuna 5M, Msitutafutie sababu, na mahakimu siku hizi wanasifa kama nini π‘