Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?


hapo namba mbili kwenye red inasemekana aliyekuwa mpigaji/tapeli maarufu jijini dar anaye ozea gereza la ukonga mpaka leo,papa musofe alitajirika sana kwa mtindo huo.inasemekana alijipatia nyumba nyingi dar kwa walio mkopa kushindwa kumlipa deni kwa wakati.labda alikuwa anatumia aina ya "chuma-ulete" uliyo iongelea.

tukija hapo chini kabisa kwenye red,maelezo yako yamenifanya nikumbuke story moja niliyosimuliwa inayomuhusu mpigaji mwingine maarufu hapa town wa kuitwa ostaz juma na musoma,inadaiwa kwamba pamoja na kwamba huyo jamaa anapiga mtonyo wa nguvu ktk madili yake ya kutapeli watu kwa kujifanya mganga wa kienyeji mwenye uwezo wa kuongeza pesa,lakini mpaka hii leo hana hata kibanda,akiwa dar huwa analala kwenye guest house na viji-hotel vya pale kinondoni.moja ya ufujaji wake wa pesa ni kugawa kwa wanamziki wa dansi na watangazaji wa redio ili atajwe.
 

we bila shaka ni pnc.
 

One thing i don't understand huyu tapeli nimestukia tu yuko kwenye friendlist yangu ya facebook wakati sijawahi kumrequest wala yeye hajawahi kunirequest, hivi hii imekaaje? Au ndio kashachungulia Brela na Crdb ananilia timing? Bado sielewi kwakweli option hii Facebook how is it possible? Na mimi niko makini sana kwenye settings za Facebook account yangu na huwa nazikaguwa settings zangu mara kwa mara. Pls mwenye uelewa snitowe tongotongo.
 

Labda ulipata request nyingi uka acept bila kuzicheki vema.
 
Labda ulipata request nyingi uka acept bila kuzicheki vema.

Mimi ni mtu makini sana siwezi kufanya uzembe kama huo, kwanza kabla ya kua-accept any friend request ni lazima niview profile yako na timeline yako ndio nijiridhishe wewe ni wa viwango vyangu, nikikukuta timeline yako ni Omondi omondi nakupotezea tu.
 

Hahaha. Sawa mkuuu
 
That's it. Nina mchepuko X umenirequest nimejikausha kama sipo mwezi sasa, vimeo tumalizane Wasapu tusiharibiane show.

Kwa hiyo mkuu, unakuwa kama kingi unakula huku na kule...au joker unatua popote usiwakimbie sasa.
 
Nimewahi sikia kuwa bank wanashindwa kufanya chuma ulete (bukula) huko kwetu, sababu ya yale masanduku ya bati wanayotumia kusafirishia pesa, pia wanasema vitu vya bati chuma ulete hawezi kufanya mambo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…