Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Unaposema chuma ulete ni vitu vya kufikirika tu na si uhalisia una maanisha nn?
 
Hii kitu inatia karaha na umasikini. Naomba ushauri kwa mwenye kujua jinsi ya kukabiliana na hawa pepo wa chuma ulete. Seriously!
 
Ipo mada humu jf jinsi ya kuwakabila hao jamaa embu itafute mkuu ila pole
 
Eng issue sio rahisi hivyo tumefanya utafiti wa kutosha na kuzibiti cash mane tukagundua noti zinavhomolewa kimiracles

Zinachomolewa ki-miracles?? kwa namna ipi?

Jaribu kufata utaratibu wa kimapato na matumizi kwa kuandika na kuhifadhi kumbukumbu usidharau hata senti moja kuacha ipotee bila kujua imekwenda wapi.

Halafu acha kuwa na mawazo ya kishirki.
 
Elimu ina uzuri wake na ubaya wake.
 
Hii kitu inatia karaha na umasikini. Naomba ushauri kwa mwenye kujua jinsi ya kukabiliana na hawa pepo wa chuma ulete. Seriously!

elezea hiyo kitu ndio nini??/inakuaje/ipoje!?
then jinsi gani inakupa karaha... na huo umaskini!!!?
then tukupe/tafutie ushauri..!!??
 
Hii kitu inatia karaha na umasikini. Naomba ushauri kwa mwenye kujua jinsi ya kukabiliana na hawa pepo wa chuma ulete. Seriously!

dawa ni hii,njoo kanisa la eagt kwa katunzi mtoni mtongani njia ya mbagala shuka mtongani mbelekidogo kuna reli inavuka juu ukivukahapo utaona kanisa kubwa mkono wa kushoto hata ukiuliza utafika nakwambia majini,chuma ulete,uchawi kwa mchungaji katunzi Mungu atajibu na ni buree hakuna mafuta wala nini hapo ibada ni kila jtano has ijumaa saa kumi jmos saa 9 jpili saa 3asbh,karibaana mimi nimeona kwa macho yangu seriously karibu ujione kuanzia jtano ni ibada mpaka jpili.
 
Fursaaaaaaaaaaa
 
Umeanza vizuri,umeharibu mwishoni,uliposema ni kitu cha kufikirika zaidi kuliko uhalisia.

Sio cha kufikirika,kipo kweli.
Tatizo ni kwamba haya mambo ni ya ulimwengu wa roho/ulimwengu usioonekana!
 
Umeanza vizuri,umeharibu mwishoni,uliposema ni kitu cha kufikirika zaidi kuliko uhalisia.

Sio cha kufikirika,kipo kweli.
Tatizo ni kwamba haya mambo ni ya ulimwengu wa roho/ulimwengu usioonekana!

Ni sahihi christine ibrahim, naweza kuwa nimeharibu mwishoni lakini nimesema ni cha kufikirika zaidi kwasasa kwakuwa kuna vingine hata havihusiani na chuma ulete lakini vinatumbukizwa huko
 
Last edited by a moderator:
Kuna huyu ndugu anaitwa topr afike huku tafadhali majibu ya maswali yake yapo
 
Wana jamii ningepanda kujua maana halisi ya chuma ulete kwani zaidi najua mtu anaye weza kuchukua hasa pesa kwa ki mazingira ndio huita chuma ulete. kuna siku jamaa mmoja alinikuta nanunua bidhaa duka ni a kaja kwangu na kuniomba shilingi Mia moja . nilikuwa na kiasi cha shilingi kadhaa mkononi nikampa mia akaenda pembeni yangu kulikuwa na mama mmoja alikuwa akinitazama kwa jicho la ishara alipoondoka yule jamaa yule mama akasema usinge mpa kwani km angekuwa na shida basi angeomba buku au Mia 5. Hawa watu wa aina hii ni washilikina wanafanya CHUMA ULETE.
sijapata madhara yeyote sasa yapata wiki . Je hili tukio laweza kuwa ni la kishirikina? na lina kaa active kwa muda gani? ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…