nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudishaTuliza kichwa kama amewahi kuchukua basi ni yeye kama hajawahi kuchukua basi sie
Usifanye hitimisho haraka tena shirikiana nae kutafuta usipoipata piga kimya endelea na maisha
namaanisha chuma ulete mkuuHakuna uhusiano wa kutoa au kutokutoa zaka na kupotea pesa! Na kama unaamini kuna uhusiano, basi kupotea kwa pesa zako na huku ukiwa mtoa zaka mzuri basi kumethibitisha hakuna uhusiano.
yeye hachezi vikobaKama ukiamua kufanya uchunguzi mwenyew anzia kwa wamama wa vikoba watakuambia Jana kapeleka sh ngap
Mkuu Leo ilikua siku ya kupeleka kuweka katika accountWe jamaa wa ajabu sana Dunia ya Leo una hifadhi pesa kwenye box😂
Haya mbane tena huenda kachukua ila vitu kama hivyo ndio huanzisha migogoro ya ndoaaliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
acha tu mzee pesa naitafuta kwa shida afu mtu analeta utani hiviHaya mbane tena huenda kachukua ila vitu kama hivyo ndio huanzisha migogoro ya ndoa
Hawezi acha bossVipi uchoyo aliacha kwanza?😅😅😅
Anyway, wanasema mchawi mpe mwanao akulelee.
Basi ni yeye....uwe unampa pesa yake ya ziada ili asiendelee kudokoaaliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
juzi nilimpa akanunue nguo japo alisema haitoshBasi ni yeye....uwe unampa pesa yake ya ziada ili asiendelee kudokoa
Basi ongea naye vizuri usisumbuke wakati mtu upo naye mbane kisawasawa atakupa hela yakoyeye hachezi vikoba
Kumbe jibu unaloaliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Hamna kitu kinaitwa chuma ulete hizo ni mythical tunamaanisha chuma ulete mkuu
mambo ya ajabu sana nashuhudia kwa huyu mke toka nioeBasi ongea naye vizuri usisumbuke wakati mtu upo naye mbane kisawasawa atakupa hela yako