Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,

jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Kumtuhumu wife ni kosa kubwa sana. Wife ni sawa na mkono wako mwingine.
Kama mkono wa kulia unaweza kuuibia mkono wa kushoto huo mwili ni wa kukatwakatwa tuu.
Tengeneza mwili wako usijituhumu.
 
wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,

jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
kama mpo wawili na wewe hujachukua basi lazima mwingine kachukua. Naomba unielewe sijasema mkeo mwizi.

me napita huku.........
 
Hawezi acha boss
Badilisha namna ya kuishi nae, mfanye awe involved zaidi au jifanye unamfanya yeye kuwa ndio mtunzaji mkuu ili uone mambo yatakavyoenda.

Ila pia jitahidi kumzingatia kwenye mahitaji yake binafsi pengine hiyo ndio humfanya awe na tamaa za hapa na pale.
 
wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,

jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Weka benki na jifunze kumtunza wife kama unamtunzaga hawezi iba ila ameiba kws maana hatunzi jwanza amesogeza . Ushamba tu unaweka ndani ya nyumba hela badala ya benki au ufungue kububu chamitandao uweke au ucheze ile ya nani zamu yangu .
 
hua naweka benk kila siku Leo ndo nilitaka kuipeleka
 
Ni mtu kaichua, kama sio yeye basi chunguza matumizi yako au mtu mwingine anaeingia hapo, ila haiwez potea bila kuchukuliwa na mtu.
 
Basi ni yeye....uwe unampa pesa yake ya ziada ili asiendelee kudokoa
Nilitaka kukoment jambo hili mkuu...ahakikishe anampa my wife wake pesa ya kujikimu, sio lazima awe na shida ndio umpe hela, yawezekana kbs kamtumia mama yake ya matumizi.
 
Niliwah pewa laki 1 na jamaa yangu usiku wa saa 5,kesho yake asubuh nacheki hela ipo elfu 40

Hawa watu sio

Kuna kipindi nilikuwa nae mbali,nikawa naenda kumchek mara moja kwa mwez,nilikuwa nikitaka kwenda nachukua pesa bila kuhesabu lakin cha ajabu siku natoka kwake nilkuwa najikuta naishiwa hela,yaan ile nataka kuondoka nimuachie hela najikuta hela ipo kidogo,inanibid tena nauli nitoe kwenye simu

Hawa watu sio
 
Huwezi kula keki yako halafu ikawepo, unakuwa umeitafuna na imemeng'enywa. Ukumbuke mu mwili mmoja. Tafuta ingine.
 
Nilitaka kukoment jambo hili mkuu...ahakikishe anampa my wife wake pesa ya kujikimu, sio lazima awe na shida ndio umpe hela, yawezekana kbs kamtumia mama yake ya matumizi.
nimetoka kumpa pesa juma 3 japo alisema haitosh kaenda shopping
 
Niliwah pewa laki 1 na jamaa yangu usiku wa saa 5,kesho yake asubuh nacheki hela ipo elfu 40

Hawa watu sio

Kuna kipindi nilikuwa nae mbali,nikawa naenda kumchek mara moja kwa mwez,nilikuwa nikitaka kwenda nachukua pesa bila kuhesabu lakin cha ajabu siku natoka kwake nilkuwa najikuta naishiwa hela,yaan ile nataka kuondoka nimuachie hela najikuta hela ipo kidogo,inanibid tena nauli nitoe kwenye simu

Hawa watu sio
nahisi hawa ni wezi kwa siri siri
 
wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,

jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Nanukuu: ''ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi'': Nani akumbuke? Ulishatueleza tena juu ya wewe kuweka fedha kwenye ki-boksi ndiyo utuambie tukumbuke? Sahihi ungeandika angalau ''ifahamike.......'' Pili ujinga wa kuamini kuna kitu kinaitwa ''chuma ulete'' ni janga la taifa la Tanzania na inaonyesha jinsi wananchi wengi walivyo na uelewa mdogo na bado wanaishi enzi za mawe. Na wajanja wanatumia huo mwanya kuibiwa wajinga.
 
Back
Top Bottom