Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Sasa ndio ulilete huku?

😃 Ongea na mwenzio
 
Kwavile umemshilikisha ambaye mko wawili amejua kama hela imepotea akupe mawazo ufanyeje ili Hela zisipotee
 
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Mwambie mke wako unaenda kwa mganga kumfanyizia mtu kitu kibaya. Halafu katege pahala usipatikane kama nusu siku.

Then washa simu.
 
Kwani humo ndani unaishi na Jambazi au ?, lakini pia kama unahisi ni wife ,vumilia kwasababu hata mimi Mke wangu ananitesa kuna siku kachukua 50k yote iliyokuwepo ndani kaacha mkoba mweupe ,na bado tupo wote hatujaachana na wala Hatugombani .

Ushauri wangu ni kwamba kama umejiridhisha kuwa pesa kweli haionekani ,mcheki Mganga wa Jadi ,lakini hakikisha angalau una buku hapo kwa sababu hii ni kazi kubwa .Bila hivyo watu watendelea kukufanyia ushubwada tu, baada ya kusema hayo nikutakie kila la Heri kiongozi tuko mpaka mkeo akuibie kila kitu mpaka nguo ,hadi NguoYaSikuKuu ,akili ikukae sawa subiri uone ndo Utajua ujui ,fukuza huyo mwizi haraka sana
 
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Mkuu nipo online Salam kwako.
Unless unaandika kwa niaba ya MTU mwingine LAKINI kama ni ya familia yako, nyamazia na muyaongee chumbani. Kama yumo humu Jf na akasoma ulichoandika, utasababisha hazara zaidi ya hizo elfu sitini kwenye ndoa yako.
Ahsante
 
Mkuu nipo online Salam kwako.
Unless unaandika kwa niaba ya MTU mwingine LAKINI kama ni ya familia yako, nyamazia na muyaongee chumbani. Kama yumo humu Jf na akasoma ulichoandika, utasababisha hazara ya hizo elfu sitini kwenye now yako.
Ahsante
Hawezi ingia huku
 
Back
Top Bottom