Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

Unamjua shemeji vizuri,tabia yake wewe ndye unaish naye.

Pengine ameteleza,ametingwa akashawishika kuchkua.

Mtengnezee balance,tatua changamoto zake za kifedha kadri uchumi unavyoruhusu.

Njaa ya mahtaji n mtego,yeyote anaweza kunasa.
 
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Umeoa mwizi, FULL STOP.!!
 
60000 unakuja kufungua uzi. Unataka tukusaidie nn
 
Itakuwa chuma ulete hiyo imeanza kukunyemelea🙁🙁
 
hua nampatia mkuu
Pole sana Mkuu, huenda mwenzio alipitiwa tu si unajua ishu za Vikoba, kuuguliwa na Wazazi/Ndugu zake n.k

Ungeweza umweleze ukweli kuhusu hilo jambo na namna usivyolipenda liendelee
 
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Huwa unampatia mkeo hela ya kwenda salon kusuka?
 
Weka benki na jifunze kumtunza wife kama unamtunzaga hawezi iba ila ameiba kws maana hatunzi jwanza amesogeza . Ushamba tu unaweka ndani ya nyumba hela badala ya benki au ufungue kububu chamitandao uweke au ucheze ile ya nani zamu yangu .
Mwizi ni mwizi tu

Kiasi gani kinamtosha mwizi?
 
Kumtuhumu wife ni kosa kubwa sana. Wife ni sawa na mkono wako mwingine.
Kama mkono wa kulia unaweza kuuibia mkono wa kushoto huo mwili ni wa kukatwakatwa tuu.
Tengeneza mwili wako usijituhumu.
wanawake sasa hivi ni wezi
 
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
MIMI NILIWAHI KUPITEZA LAKI SITA KWENYE MAZINGIRA HAYA YA KWAKO NA NILIKUWA NIKO PEKE YANGU. AFADHALI WEWE UMEPOTEZA KIDOGO HUKU MKIWA MKO WAWILI
 
Hiyo imeenda, tafuta chimbo jingine la kuweka pesa. Kama kuaminiana ni kudogo basi hakikisha una machimbo mengi ya kuweka pesa zako.
 
Back
Top Bottom