Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kula nyama nyamaza .....
Kumbe unajua kuwa mkeo ana tabia za udokozi. Why sasa unahoji pesa imekwenda wapi na yeye ndie alikuwa na access nazo kwenye chumba mnachoishi wawili tu.aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Acha ubinafsi, mko wawili umekuta imepungua unamuuliza ya nini?Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
ningefanyaje?Acha ubinafsi, mko wawili umekuta imepungua unamuuliza ya nini?
Amesema ni hesabu yake ya wiki nzima kazini na ameitafuta kwa shida. Maisha yanatofautiana sana mkuu sio kila mtu ana hela ingawa JF kila mtu anajifanya ana hela.Ila mkuu 60k ndiyo ufungulie uzi?
hatari sana bossMwanamke kuwa mwizi ni aibu asee!!!
Maana kama anaiba hela, ikitokea opportunity hata ku cheat anaweza.
Fukuza akakae kwao hata miezi 3
hajui uchungu wa fedha uyoAmesema ni hesabu yake ya wiki nzima kazini na ameitafuta kwa shida. Maisha yanatofautiana sana mkuu sio kila mtu ana hela ingawa JF kila mtu anajifanya ana hela.
hua nampatia mkuuPole sana Mkuu
Kama ndani mpo wawili tu, inaonesha mwenzio ndiyo atakuwa suspect wa kwanza
Ila kuoa Mke mdokozi inarudisha nyuma familia nyingi, leo amechukua 60k yako
Siku nyingine akute una akiba ya milioni 2 ama 3 ndani, anaweza kubeba zote na kutokomea kusikojulikana
Jaribu wakati mwingine kumpatia fedha ya ziada kwaajili ya matumizi yake binafsi
Na hiki ndiyo huwa kisababishi kikubwa cha wake zetu kuanza kuchepuka wakati mwingine
Ungetulia tuu, utafute zingine ama uhifadhi benkiningefanyaje?
mkanye au achana naemambo ya ajabu sana nashuhudia kwa huyu mke toka nioe
Kumbe mwizi unaye.aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Huu ndio ushauri wa mtu aliyekomaa kiakiliTuliza kichwa kama amewahi kuchukua basi ni yeye kama hajawahi kuchukua basi sie
Usifanye hitimisho haraka tena shirikiana nae kutafuta usipoipata piga kimya endelea na maisha
Niamini mkuu watu wanaobrag mitandaoni kiuhalisia ni tofauti kabisa. Mtu anayeitafuta pesa hawezi dharau 60,000.hajui uchungu wa fedha uyo
Kumbe mwizi unae hapo ila unatupa mtihani tuwe na dhana tu.aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha