Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

Chumbani kwangu imepotea Tsh. 60,000 na ndani tupo wawili tu

Amechukua yeye acha uduanzi weka hela kwenye simu asijue password au benk mawakala si wapo wengi mtaani au wewe unaishi chaka gani?
hao watu hawaaminiki sikuhizi
 
Amechukua yeye acha uduanzi weka hela kwenye simu asijue password au benk mawakala si wapo wengi mtaani au wewe unaishi chaka gani?
hao watu hawaaminiki sikuhizi
Kama amechukua yeye naipataje?
 
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Wanawake wengi sio waaminifu kwenye pesa!!ni kama Wana Pepo Fulani hivi!!wakiona pesa TU na matumizi wanaanza kupanga Hadi inaisha!!

Badili mbinu weka kwenye laini yako ya simu!!
 
nimekuambia niliacha asubui jana 80k mkuu Leo nakuta 20k
[/QUOTE
Sawa, na mini nimesema "kama mnaishi wawili tu ndani, ukaweka kitu, ukakuta kimepungua, nawewe hukukipunguza, ni wazi kabisa kwamba mwenzako ndo amechukua".
Lakini pia naomba nieleweke kua "Sijamuita mkeo mwizi"
 
aliwahi chukua elf 20 ya kanisani nilipomwagiza apeleke kumbe nilisha piga simu kanisani kuwambia adi kais nikakuta pungufu hiyo ila nilimbana akarudisha
Kumbe jibu unalo? kwa vyovyote atakuwa ni yeye amechukua, kuishi na Mtu ambaye siyo mwaminifu ni changamoto sana.
 
Mwanamke kuwa mwizi ni aibu asee!!!

Maana kama anaiba hela, ikitokea opportunity hata ku cheat anaweza.

Fukuza akakae kwao hata miezi 3
 
wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo Leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, Leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui,

jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Hamna panya humo?Kama hamna ni huyo wife material!
 
Panya cheki ndani ya speaker au subwoofer nk sehemu ambazo panya wanaweza kuzaa ...swali nyumba unayo ishi kuna panya ? Je ulishika pesa na shombo ya chakula nk ?
 
Pole sana Mkuu

Kama ndani mpo wawili tu, inaonesha mwenzio ndiyo atakuwa suspect wa kwanza

Ila kuoa Mke mdokozi inarudisha nyuma familia nyingi, leo amechukua 60k yako

Siku nyingine akute una akiba ya milioni 2 ama 3 ndani, anaweza kubeba zote na kutokomea kusikojulikana

Jaribu wakati mwingine kumpatia fedha ya ziada kwaajili ya matumizi yake binafsi

Na hiki ndiyo huwa kisababishi kikubwa cha wake zetu kuanza kuchepuka wakati mwingine
 
Kulipa zaka kuna uhusiano gani na wewe kutoibwa??
 
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.

Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.

Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.

Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Acha ulalamshi.Ulilewa.
 
Back
Top Bottom