Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,576
- 2,350
Sasa ndio ulilete huku?Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Jiepushe na stress bro ushajua haya kapiga kelele zimerudi??Mwizi ni mwizi tu
Kiasi gani kinamtosha mwizi?
Yupo Zama Za Mawe Za Kati.....!!We jamaa wa ajabu sana Dunia ya Leo una hifadhi pesa kwenye box😂
hua napeleka benk kila siku mkuu Leo ndo ilikua zamu ya kupelekaUsithubutu kuhifadhi pesa ndani mkuu
Kwavile umemshilikisha ambaye mko wawili amejua kama hela imepotea akupe mawazo ufanyeje ili Hela zisipoteeWakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Mwambie mke wako unaenda kwa mganga kumfanyizia mtu kitu kibaya. Halafu katege pahala usipatikane kama nusu siku.Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Pesa kachukua mkeo pole sana mkuuhua napeleka benk kila siku mkuu Leo ndo ilikua zamu ya kupeleka
Mkuu nipo online Salam kwako.Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife na yeye anasema hajui.
Jana nilimwagiza achukue 2000 anunue kitu fulan, mimi nilikua mbali, ikumbukwe kua hiyo pesa ni hesabu ya saloon ya kuanzia jumapili to alhamis ya juzi.
Pia jana asubui hiyo hiyo nilimpa laki na 30 aweke sehem hiyo ipo yote lakini iliyopo katika box ndio imepotea hiyo elf 60.
Naomba nijifunze je, ni wezi? na kwanini abakishe? je chuma ulete kila siku naweka humo haijawai potea huu mwez wa 6 sasa, tafadhali naomba nijifunze, ni Mlipa zaka mzuri kabisa sijawai kengeuka katika hilo Asante.
Sijaelewa comment yako.Jiepushe na stress bro ushajua haya kapiga kelele zimerudi??
Hawezi ingia hukuMkuu nipo online Salam kwako.
Unless unaandika kwa niaba ya MTU mwingine LAKINI kama ni ya familia yako, nyamazia na muyaongee chumbani. Kama yumo humu Jf na akasoma ulichoandika, utasababisha hazara ya hizo elfu sitini kwenye now yako.
Ahsante
Yaani ni hivi mke wake alichukua hela siameshajua kuwa ni anachukua basi aweke benki kuliko kulalamika anaonyesha hamtunziSijaelewa comment yako.