Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Ma ex ni ngumu sana kuachana ngumu mno kuna chemistry moja kali sana hapo
 
Mi kuna mshkaji alinikopa 500k akaniambia mpelekee shemeji yako pale big bon sinza mi huyoo mpaka big bon shem kashuka kwenye bajaj aisee ile ni pisi balaa..nikampa ile hela sasa kuna jicho alinipiga saa tunaagana aisee yani alinikaribisha kabisa...

baada ya wiki nikamtext shem niaje ? njoo tule bia hapa heineken house sinza basi aisee huezi amini shem akaja na gari yake hapo jamaa kasafiri kala wine baadae si akaonja magic moment yangu..kumbe alikua mnywaji balaa ah nikaanza kumnawa pale...anasema we huogopi mi shem wako..! check oil kistyle yuko byee aisee nikaruka upande wa pili pale karibu na boardroom tafuna sana shem saaana akanielewa

ikawa ndo kamchezo jamaa alivyotangaza ndoa nikamkataa kabisa mpaka anaolewa analalamika tu na harusini nikaenda...
ila nikamtupa kabisa alilia mno nikamwambia noo we sa hv umeapa kanisani big nooo!

namkwepaga sana!
 
Huu uandishi wa kijinga kabisa. Nachukua huu uandishi
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Afu time nyingine marafiki ni mikosi tu, mi kuna rafiki yangu kipenz alisababisha niachane na mpenz wangu wa kwanza baada ya kugundua anatembea nae,baadae nikamsamehe rafiki yangu maisha yakaendelea lakin baadae kuna mume wa mtu nilikuwa napunguzia machungu lakini tena nikagundua ana mchepuko mwingine ambaye ni rafiki yangu yuleyule niliyemsamehe.Kiukweli sijawahi taka kumwona tena huyu shost
 
Mimi sinaga marafiki uchwara sijui mwamba Mara chalii.kwangu Kila kitu kuko 50/50 sinaga adui Wala rafiki wa kudumu,,Nina mke mmoja na ndugu japo hata wao hivyo hivyo wakileta uzwazwa tunazenguana dakika 0 na Kila mtu ananijua.

ninachoshukuru ni kuwa pepo la kutamani wake za watu,wapenzi wa watu na wanafunzi Sina na asilimia ya ninaowala kimasihala ni wale ninaowajua.
 
Kwani rafiki yako akiingiza kwenye hiyo tundu la demu wako, wewe unapungukiwa nini? Au ni wivu wa kijinga tu? Kikubwa kuheshimiana
 
Ulifanya maamuzi salama. Ungenogewa rafiki yako one day angekuja kukunasa

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Faza hausi alinimaindi sababu nlimfukuzia wapangaji wake kisa nliwachanganya wote walikua ni marafiki sana lakini baada ya kuhama kila mtu kaenda kukaa kivyake na nmewaacha wote nasubiri wapangaji wapya
 
Jifunze kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…