Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
- Thread starter
- #81
Simulia ndugu, tupate maujanjaYangu mimi hayasimuliki. Ila naamini Mungu alishanisamehe.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simulia ndugu, tupate maujanjaYangu mimi hayasimuliki. Ila naamini Mungu alishanisamehe.
Ilikuwaje mkuu mpaka ukapita nae?Mim mwenyew nimeshawai kupita na demu wa rafiki yangu alafu wanakuaga kama maharage ya mbeya maji mala moja tuu
Ma ex ni ngumu sana kuachana ngumu mno kuna chemistry moja kali sana hapoTulivyowa chuo kuna mkaka nilikuwa namzimikia, nikawa namwambia rafiki yangu nampenda yule Kaka so akawa anafahamu Hilo.
Na huyo mkaka alikuwa ananipenda sema hakuwahi nitamkia kwasababu tayari nilikuwa na mtu wangu. Ila tukienda club lazima anifate tucheze wote,dalili nyingi zilionyesha ananizimikia kiaina.
Binafsi nimetoka na marafki wawili wa Dem wang tnaanz kma hivi
1.Uyu alipgwa suspension mwaka jna walkua wote high school kwa sbb ya kumiliki cm kwaio bae wang akawa anaazma annchek alvypgwa pendi nkawa nmchk alkua ankaa mjini dar kwaio process zote mpk anatoka shule nlkua nawsiliana nae akaja akfikia geto akakaa kama week ykufnyika ykafanyika badae akaenda kwao alkuja krud shule juz kmalza necta kaja piah so now kshkua kma bae tnaish .
2.Baada ya rfk ake wa hapo juu kupgwa suspension akawa anaazma kwa rfk ake mwingne nyy alkua mtu wa mjini bc kmlza necta nmmtafuna last wkeend kimasihara huyu alkuja geto nkatest nkapewa so now naish nao hvohvo.
Chakushngza wote wnnkubli sana ila bae hnitak anadai chemistry hziendani bc nmekubali matokeo ngoja niishi na Hawa wawili [emoji3571][emoji3571]
Pole sanaWameniboa moderators kuna mada yangu tamu wameifyekelea mbali.Napunguza hasira kwanza mkuu
Ulifanya maamuzi salama. Ungenogewa rafiki yako one day angekuja kukunasaMi kuna mshkaji alinikopa 500k akaniambia mpelekee shemeji yako pale big bon sinza mi huyoo mpaka big bon shem kashuka kwenye bajaj aisee ile ni pisi balaa..nikampa ile hela sasa kuna jicho alinipiga saa tunaagana aisee yani alinikaribisha kabisa...
baada ya wiki nikamtext shem niaje ? njoo tule bia hapa heineken house sinza basi aisee huezi amini shem akaja na gari yake hapo jamaa kasafiri kala wine baadae si akaonja magic moment yangu..kumbe alikua mnywaji balaa ah nikaanza kumnawa pale...anasema we huogopi mi shem wako..! check oil kistyle yuko byee aisee nikaruka upande wa pili pale karibu na boardroom tafuna sana shem saaana akanielewa
ikawa ndo kamchezo jamaa alivyotangaza ndoa nikamkataa kabisa mpaka anaolewa analalamika tu na harusini nikaenda...
ila nikamtupa kabisa alilia mno nikamwambia noo we sa hv umeapa kanisani big nooo!
namkwepaga sana!
Aaaawwwwwch!Ulipaswa upite bila kunisoma, on sasa naona aibu
Amen mtumishi 🙏Na watu waseme amen!
Hahahahaaa
[emoji23][emoji23] nimeshindwa kuusoma.Huu uandishi wa kijinga kabisa. Nachukua huu uandishi
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Jifunze kuandikaBinafsi nimetoka na marafki wawili wa Dem wang tnaanz kma hivi