Yani inabidi aweke housekeepers na mwanafunxi atakaeharibu chochote ni lazma alipe. KILA siku pawe panakaguliwa.Wameachiwa hadi fenicha!? Hiyo floor ya mbao itakunywa maji na kuoza. Jamaa atakuwa alikuwa desperate sana hadi kufikia uamuzi huo. Unawezakuta ilikuwa iwe hostel apate ya kulipa madeni au iuzwe.
hotel ya Ngurudoto ilitumika kama chuo toka enzi za Kikwete piaHii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati , kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha , imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi ! kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Sasa hao watoto wengine hawajui kutumia vyoo vya maji si wanakwenda kuvunja vunja miundo mbinu ya vyoo?Mkuu utalii na watalii wanahusika na nchi nyingi sana mkapa afike na kuondoka Tanzania... Na nchi nyingi (source markets) bado Covid-19 inazidi kushika kasi...
So biashara ya utalii si direct kama kupanda daladala za makumbusho mawasiliano...
Arusha kama Arusha ni mji ulioathirika kiuchumi kupita miji yote (isipokuwa Unguja na Pemba) kutokana na kudorora kwa utalii...
Hiyo familia Wana njaaKweli kabisa. Kama hii familia ingeshauriwa vizuri hizo property wangetafuta management Kama doorways, serena , sheraton, wakazirun wao wakawa wanapokea gawio. Kugawa a mali za hivyo ni ushamba wao wangekia tu gawio linapotoka wao wanalipwa mshahara. Hivyo wangeendelea bila stress
Kuna faida zake kulalia mahali pazuri...au nasema uongo ndugu zangu?Uchumi wa kati ni pamoja na wanafunzi kulala sehemu nzuri,
Sehemu nzuri zilikuwa zinalaliwa na majizi na mafisadi
Sasa ni muda wa majizi na mafisadi kuisoma number na kuishi kama mashetwani
Kwani kuna dhambi gani watoto wako kulala sehemu nzuri?.
Eti msomaji unaesoma hapa, wewe hupendi mwanao alale sehemu nzuri?
Sio kila jambo ni kupinga pinga tu,, mjifunze kuwa alie juu saa yoyote ataporomoshwa
Ni hayo tu
Uchumi wa kati ni pamoja na wanafunzi kulala sehemu nzuri,
Sehemu nzuri zilikuwa zinalaliwa na majizi na mafisadi
Sasa ni muda wa majizi na mafisadi kuisoma number na kuishi kama mashetwani
Kwani kuna dhambi gani watoto wako kulala sehemu nzuri?.
Eti msomaji unaesoma hapa, wewe hupendi mwanao alale sehemu nzuri?
Sio kila jambo ni kupinga pinga tu,, mjifunze kuwa alie juu saa yoyote ataporomoshwa
Ni hayo tu
Maisha ni pedeli ya baiskeli. Ikiwa juu baadae inaenda chini. Jambo muhimu maishani ni kuwa mvumilivu
Hesabu zako hazipo sawa.Kutokana na changamoto ya kibiashara katika sekta ya utalii uongozi wa hoteli yenye hadhi ya juu ya kitalii wameamua kuigeuza hoteli hiyo kuwa hosteli kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vilivyopo Arusha.
Hoteli hiyo ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 2000 hivyo kuingiza mapato ya zaidi ya 70 milioni kwa mwezi.
Hoteli hiyo ilifungwa zaidi ya mwaka kutokana na changamoto za biashara.
Chanzo: Clouds Radio
aliyeshindwa kuendesha anawezaje kuingia mikataba na chuo cha uhasibu ?Huwaga unaubishi wa kijinga Ngurudoto ni swala la management ndo inshu nawewe Kama mdau ws JF humu Kuna mada nyingi sana zinavyoelezea jinsi warithi wanavyofuja Mali na kusahau kuwekeza kwenye uzalishaji
"Matajiri lazima waishi kama mahetani" alisikika baunsa mmoja
mido inkamu kantre[emoji3]Uchumi wa kati[emoji23][emoji23]
Tutembee vifua mberee[emoji124][emoji124]